From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

Je kuna usalama kweli wakuu, niko mbali na mke wangu , then from nowhere kanitumia hoyo text
Pole sana mwamba ila hio kitu inaitwa "Guilty conscience"...Ni ile hali hutukuta endapo umefanya jambo baya kwa mtu asie na hatia halafu unajistukia stukia why umemfanyia mtu hivyo.

Kifupi kuna mawili, huenda mkeo katoka kuliwa ama ndio anaelekea kuliwa ila anapata uchungu kwann anakusaliti mumewe!

Au huenda tu kakumiss esp. kama anakufanyiaga drama drama kisha unam bembelezaga..anajikuta anakukumbuka tu kwa wakati huu kwakuwa hakuoni upo mbali naye.
 
"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.
Huenda kaskia Ile audio ya yule kungw anavyo wataka wanawake kuwatumia kila muda mesej za faraja na Mapenzi wamezao wanapo kua safar au kazin pia huenda kaona mwanamke mwenzake anavyo nyanyaswa na mme wake na kujipima na kuona kua mumewe anamjal na kumthamin so io ni kama shukuran usimfikirie vibaya
 
Mkuu hata usingizi hauji sielewi kabisa, nimejaribu kumuelekeza izo kauli na jambo jingine lilikua haliposawa akawa kwenyesimu haongei, namwambia mbona huongei anasema nakusikia ila nikiongea hanijibu mwishoe nikaamua nikate simu, ila moyo unaniuma, nimepiga tena hapokei na najua kesho atadai nilipokata cm alilala da! Sijui yan
Mambo tayari.

Pole sana mkuu.
 
Inaelekea hujawahi kupata message kama hiyo kutoka kwa mkeo ndiyo maana umechanganyikiwa, pole kwa yote lakini wewe unamfahamu mkeo fika sisi wengine hatumfahamu.
 
Hizo msg huwa kwa wengi zinaishia pale mnapoanza kuzaa watoto,inafikia mpaka unazisahau,ndio maana humu wengi wametafsiri tofauti,na hata mtoa mada mwenyewe imemshtua maana alishazisahau kwahiyo anataka kujua kama imetumwa kwa wema au la....
 
Aisee wanandoa mnachekesha sana, mmezoea maugomvi hadi mkitumiwa msg nzuri ya kimahaba mnashtuka.
Kuna nyingine ni fikirishi kwa huyu anajitakasa huenda sio mzoefu au amefanyiwa jambo baya majuto yake ndo hayo.

Kajistukia huyo
 
Back
Top Bottom