From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

Wadau wanazidi kuchochea kuwa amesalitiwa, unadhani jamaa atampemda tena mke wake? Atakuwa hana amani maskini na ukute hajamsaliti. JF inaharibu sana mahusiano ya watu..Mambo mengine bora mtu ukae kimya kuliko kuyaleta humu
Humu kuna ukweli amini japo wapo wachache wasiojali wanaingiza utani

Hakuna unafiki humu unapewa makavu iwe wema au iwe shari unaambiwa tu

Maana hujulikani
 
Nakupenda wewe peke yako, you are the only one, you are my number one..([emoji1787][emoji1787][emoji1787] means kuna namba two, three....na kuendelea)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado, haijakaa sawa. "You're the only one", kwani kulikuwa na mwingine? Mimi najua nikiwa na wewe na hatujaoana ndio unaweza kuja na hizo swagga, upo peke yako. Tumeoana then unaniambiaje "upo peke yako"?

Inaweza kuwa msg ilideliver kwa wrong person, ningekuwa mshkaji ningembana hadi aseme ukweli.
 
Nashindwa tu kuelewa kwa nini watu wasiichukulie ina positive way, yaani mama wa watu kajitahidi kuwa romantic, anajua distance ni issue kaamua kabisa kuthibitisha kuwa man, upo alone usiwe na wasiwasi. Jamaa tayari amepanic, hatari hii!

Huna msimamo mara uchukulie positive mara useme umbane [emoji23]
 
"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.
Damn suspicious [emoji23][emoji23]
 
Hayo sasa mengine. kama kweli wife anasaliti basi ni mjinga wa kiwango Cha lami, angemute tu sio lazima atume msg
Huy nimekwambia badobado yani baada ya tukio kahisi kama kaonekana yani

Na hisi akimtaiti anaweza asirudie tena
 
Hata ningekua mimi ningekaa kimya na nisipokee simu akipiga. Yani kumbe tayari kuna jambo lingine lilikua haliko sawa, naamini huyo dada kutokana na hayo mengine kutokua sawa akaamua kumkumbusha mpenzi wake hata kama bado kuna kamgogoro ajue bado anampenda kuliko mtu yeyote. Bado tena unanipigia simu unaniuliza kwanini nimekuambia nakupenda shida imekua hiyo kuliko mtu/mwanaume yeyote.

The lady is in abusive relationship na hivi wako mbali atapata psychological torture sana.
Ahahahah
Unajua ukimuelewa vizuri kabsa mtoa mada, utabaki kuumia tuu

Jaribu kumuelewa vizuri kupitia koment zake zote utaelewa tuu

Hayo sasa mengine. kama kweli wife anasaliti basi ni mjinga wa kiwango Cha lami, angemute tu sio lazima atume msg
[emoji28][emoji28][emoji28]ila Maisha haya
Mashindwa hata niseme nini
Nimeumia Sana kama mmi ndio mshkaji vle
 
Huyo anachati na mtu mwingine kakosea msg imekuja kwako, unless kama mlikuwa kwenye mtiririko wa maongezi.
 
Mkuu, sikusoma convo za katikati hapo, huenda nilipanda treni katikati ya safari ila baada ya kusoma comments chache na za mtoa mada, naona kuna kitu cha ziada!
Okay Mkuu
Hapa Tunamuumiza tuu mchizi
Heri tukaushe
 
Ahahahah
Unajua ukimuelewa vizuri kabsa mtoa mada, utabaki kuumia tuu

Jaribu kumuelewa vizuri kupitia koment zake zote utaelewa tuu

[emoji28][emoji28][emoji28]ila Maisha haya
Mashindwa hata niseme nini
Nimeumia Sana kama mmi ndio mshkaji vle
Anacomplicate mambo huyu. Na wanaume wengi huko mtaani ndio wako kama hawa wa JF sasa jamaa, anaenda job anawauliza washkaji hivi mwanamke akifanya hivi inamaanisha nini, anajazwa sumu, akifika kijiweni anajazwa sumu. Baadae anaenda kumtemea sumu mkewe. Mahusiano hapo lazima yawe pausa kichwa. Mimi binafsi naamini mahusiano hayana ushauri, mtu atanipa experience zake ambazo zinaweza zisiwe ndicho kinachoendelea kwa mwenza wangu.
Kama kuna kitu hakiendi sawa, hakiendi kama tulivyokubaliana, hakiendi ninavyotaka nitauliza siezi kwenda kumuuliza mtu wa tatu wakati ninaehusiana nae yupo.
Third parties ndio wanaongoza kuua mahusiano ya watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado, haijakaa sawa. "You're the only one", kwani kulikuwa na mwingine? Mimi najua nikiwa na wewe na hatujaoana ndio unaweza kuja na hizo swagga, upo peke yako. Tumeoana then unaniambiaje "upo peke yako"?

Inaweza kuwa msg ilideliver kwa wrong person, ningekuwa mshkaji ningembana hadi aseme ukweli.
Mie hata unibane vipi sisemi ukweli ng'o, wewe piga nitoe jicho lkn mwisho wa siku ndo nishakudanganya hivyo
 
[emoji4][emoji4][emoji4] pole sana bro! From psychological point of view, huyo mke wako yuko guilty of something kafanya ambacho anajua sio sahihi ktk mapenzi yenu. Usipanic, tulia,chuja,fanya maamuzi [emoji1534]
 
Labda kajifunza mahala ajiongeze kwa msg kwako.. wewe unakuja hapa na mawazo mabaya.. unataka kuvunja ndoa yako mwenyewe.. kuliko kukimbilia humu.. nawe ungemjibu maneno matamu.. haya ya kuuliza shauri yako.. akija kuamua kuyafanya usimlaumu mtu mwingine..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom