From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

Hana uthibitisho mkuu hivyo atulize figo zake siku akipata uthibitisho Basi atanue mbawa hakuna namna.. hiyo sms haitoshi kuhukumu nachomsifu jamaa ni kuwa anawivu hii ni dalili kuwa nampenda mtu wake
Mkuu, ukumbuke mpaka kauleta huu uzi ina maana anamfahamu mkewe na anajua si kawaida yeye kubehave hivyo. Uthibitisho wakati mwingine huchelewa ila deep in your heart unajua kabisa kuna kitu hakipo sawa.
 
Wabongo jamani mnashida sana.
Mtu anatuma sms nzuri kwa mumewe yeye anahoji?

Ulitaka aambiwe nani?

Ushaanza kudoubt...daaa kazi kwelikweli....

Umezoa sms za mume wangu, mtoto anaumwa, nitumie hela ya chakula
Sms nzuri kivipi? Kwanini aseme 'hakuna mwingine zaidi yako'?
Angesema tu "nakupenda wangu" kwani isingeeleweka?
 
Ehjinsi gani mahusiano yamekuwa changamoto Hadi wa kwenye ndoa hamjiaminiYan msg nzr km hiyo unafikiria _ve tu
Mmmh kujiamini gani huko, kwani mke wa ndoa anategemewa kuwa na mwingine zaidi ya mumewe?
 
Majibu unampenda pia sana na maneno matam zaid. Jua hapo kushinda ushawishi mkubwa sana just because of you brother
 
Je kuna usalama kweli wakuu, niko mbali na mke wangu , then from nowhere kanitumia hoyo text
Hapo Kuna nadharia mbili, inawezekana iyo text ulikuwa unatumiwa wewe au ilikuwa inatumwa kwingine.

KAMA ALIDHAMIRIA KUKITUMIA IYO TEXT.
1. inawezekana wewe kutumiwa iyo text maana huyo Ni mke wako.
Keep constant iyo from no where hata Kama kwa chats history zake inaonekana iyo text inakuwaga ya pili na kuendelea assume ameanza leo kuanza nayo.

2. Pia anaweza kudhamiria kukutumia iyo text baada ya kutoka kupelekewa Moto, kwenye kujutia usaliti aloufanya akakutumia iyo text maana wewe ni mume wake.

KAMA HAKUDHAMIRIA KUKUTUMIA WEWE IYO TEXT.
1.Take into account iyo from no where umeisema mwenyewe HAKIKA kwa chats history zake iyo text haijawahi kuwa ya kwanza. Kama imewahi kuwa ya kwanza usingekuja kufungua Uzi hapa. Hili linathibitisha HAKUDHAMIRIA KUKUTUMIA wewe.

2.Kama HAKUDHAMIRIA kukutumia wewe na text imetumwa basi alidhamiria kumtumia mwamba mwingine anaye mpelekeaga Moto.

Hitimisho langu kwa huo uchambizi Ni 75% mkeo katafunwa maana pointi inayo mtetea Ni moja tu kwenye nne. Tena mpaka ni keep constant vitu otherwise Kapelekewa Moto 💯%
 
Sms nzuri kivipi? Kwanini aseme 'hakuna mwingine zaidi yako'?
Angesema tu "nakupenda wangu" kwani isingeeleweka?
Mkuu hata usingizi hauji sielewi kabisa, nimejaribu kumuelekeza izo kauli na jambo jingine lilikua haliposawa akawa kwenyesimu haongei, namwambia mbona huongei anasema nakusikia ila nikiongea hanijibu mwishoe nikaamua nikate simu, ila moyo unaniuma, nimepiga tena hapokei na najua kesho atadai nilipokata cm alilala da! Sijui yan
 
Duuhhh jamaa, Demu ametoka kutombwaa ,ivo kaumia, sasa anajitibu mwenyewe kwa kufunika kombe .


Amin nakuambia,hatokaa tena akutumie iyo sms ilimradi anayemtombaa ni huyohuyo.

Siku akitombwaa na jamaa mwengine, ndipo tena atakuambia NAKUPENDA SANA MUME WANGU ...


Nini ufanye ???.

Nitafute nikupe msaada.....hawa wanaaakili ndogo sana.
 
"SINA MWENGINE ZAIDI YAKO"

Hiyo huwa ni kauli ya Wanaume malaya na wanawake malaya.


Narudia, DEMU wako amepigwa pumbu, kwahiyo alikua anajaribu kujitibu kwa kufunika uchafu kupitia maneno km hayo.


Naa kama leo ndio mara yake kuliwa nje, hatokutumia sms ya ivo tena ili mradi anayemtomba atabakia kua huyohuyo mmoja.


Ila kama kuna siku atakuambia tena ivo, ujue aliyekua anamtombaa kamuacha, au keshapata jamaa mwengine tena anayemtombaa.


Wanakuaga na akili ndogo hawa!!!.
 
Usipeleke mawazo kwenye usaliti tu waza pia nae kaona kuna viashiria vya usaliti vinakukaribia hivyo ameamua kukumbusha kuwa anakupenda so think twice kabla hujachepuka.
 
Dah mkuu usiwe na shaka unapendwa wewe tu hapo yawezekana pia ikawa ni zuga tu. Kwanin usiwe don care kama mimi?
Mim nikiambiwa ivyo najibu pia nakupenda hakuna mwingine zaid yako. Bas halafu maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom