From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

Je kuna usalama kweli wakuu, niko mbali na mke wangu , then from nowhere kanitumia hoyo text
Katoka kukunwa, ila hajakunwa kisawasawa kama alivyodhania au alitaka kuchepuka ala akafumwa na mke mwenza, akaumbuuliwa, KWAHYO ANAJISIKIA VIBAYA, NA HATARUDIA HUYOOOOO.. we kuwa na amani hatachepuka wala kukudharau tena, kashakiona cha mtema kuni.
 
yani watu bhana mtu ukipendwa Bado napo wajikunakuna! Mkuu tuliza figo zako hapo umependwa nawe pendeka mbute kabisa sasa.
si ndo hapo, Hadi shetani anatushangaa muda mwingine looh
 
Je kuna usalama kweli wakuu, niko mbali na mke wangu , then from nowhere kanitumia hoyo text

Mzee baba hilo neno ".......sina mwengine zaidi yako" lina uwalakini, hapo nakushauri mfatilie karibu mke wako, kuna kitu hakipo sawa hapo.
 
Back
Top Bottom