Baki naye bado sijapeleka mahari acha nishushie kamywesoBwashee nakuachia asee 😂
Unasusa bwashee, 😅 sema suuuBaki naye bado sijapeleka mahari acha nishushie kamyweso
Hawa wenyeji wanahasira kali ukiwatongoza wanakuona kama fisadiUnasubiri container jipya mkuu😂 mbona pisi hazijaisha humu ndani we changamka tu
Genye zinakupa kichaa we mchina mweusi😅Shida ni kovu aliyoniachia mkuu, when i remember our nights was fire even usingizi ulikuwa hauji na kizuri zaidi ile sauti sijawahi ona demu mwenye sauti kama ile
Babe wangu kama utausoma huu uzi njoo pm basi nakufaaa huku🤣🤣
😅😅 Kumbe watu wanapata humu ..Hawa wenyeji wanahasira kali ukiwatongoza wanakuona kama fisadi
Acha nisubir mtu asiyejua hata kufunga PM
Akisusa weye walaaaaUnasusa bwashee, 😅 sema suuu
Kiukwel sikufichi nimetangaza ndoa mpaka kwenye group la familia ila angalia nimeachwa matatani kaka
Kipi kiarabu hapo bwashee?
😅😅 Umeshindwa vita muraaaKiukwel sikufichi nimetangaza ndoa mpaka kwenye group la familia ila angalia nimeachwa matatani kaka
Nyege wapi wewe yaani mtoto huyo tulianza kuzama sasa sijui imekuwaje aiseeGenye zinakupa kichaa we mchina mweusi😅
Bwashee tatizo sipendwi au unataka wanangu wafanane na weweUnasusa bwashee, 😅 sema suuu
Unanishaur nini😅😅 Umeshindwa vita muraaa
Ivi wewe ndio ukamtulize au weyee ndio utulizwee shekheeeNyege wapi wewe yaani mtoto huyo tulianza kuzama sasa sijui imekuwaje aisee
Ameniharibia furaha ya mwaka mpya bora asingenicheki dec 28 ningekuwa nina furaha kama vipi njoo pm unitulize😀
😅😅 Njoo Montana hapa , Nina mtoto wa kiarabu mmoja mkali kabisa Kwa ajiri yakoUnanishaur nini
Ukilima kwenye shamba la watu bila ruhusa kisheria ,mazao ni ya mwenye shambaBwashee tatizo sipendwi au unataka wanangu wafanane na wewe
Amejuaje me nina genye alizosema yeye, wakati akili yangu imemjaaa ua la waridi, me kwa huyo demu wacha niitwe simp tu🤣🤣Ivi wewe ndio ukamtulize au weyee ndio utulizwee shekheee
Wewe huyo au🥹Wapenz fuso Zima khaaah
Nini bebeWewe huyo au🥹