Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,490
- 96,959
Bibie ni kweli nafeli?, hebu nambie bila kupinda pinda ili nicheze kama cr7 🦅Anazuga haelewi. Hahahaha
Bibie ni kweli nafeli?, hebu nambie bila kupinda pinda ili nicheze kama cr7 🦅Anazuga haelewi. Hahahaha
🤣🤣🤣 Basi sikuhizi hadi Seran kajifunza kwangu kugawa hizo dislikes nagawa sana yaani kwa machawa wa humu ndaniHata zile nyekundu nishakula sana kawaida sio kila mtu atakubal unachonena 🤗
Hahaha eti upewe wewe kwamba sisi wengine ni butu bwashee?Anatufelisha akishindwa nipewe mimi huyo mtoto mzuri bwashee
We tembeza tu hazijazi server 😄😄😄🤣🤣🤣 Basi sikuhizi hadi Seran kajifunza kwangu kugawa hizo dislikes nagawa sana yaani kwa machawa wa humu ndani
Na member waovyo Kama sitakuumiza kamwe😀😀
Kumbe bwashee unapambania huku na wewe unataka😂😂😂Hahaha eti upewe wewe kwamba sisi wengine ni butu bwashee?
Hizi mambo mpaka hesabu zake nazijua 😂Bwashee umejuaje hahah
Bro kilicho changu ni changu, if someone mess up to take what's belong to me lazima kimlambe kama HarmfulChelewa chelewa utakuta mwana Sio wako bwashee
Hahaha kumbe ni sitaki nataka ,unatumia Ile kanuni Yakama unasusa vile , basi hapo sawa bwasheeBro kilicho changu ni changu, if someone mess up to take what's belong to me lazima kimlambe kama Harmful
Au Xiao qui shui nadanganya?
Nimejifunza maji yako siingii tena 🙌🙌🙌😂Bro kilicho changu ni changu, if someone mess up to take what's belong to me lazima kimlambe kama Harmful
Au Xiao qui shui nadanganya?
Hudanganyi mkuu uko sahihi kabisaBro kilicho changu ni changu, if someone mess up to take what's belong to me lazima kimlambe kama Harmful
Au Xiao qui shui nadanganya?
Bwashee usi nilishe maneno, kwani nime kataa au kukubali nini?Hahaha kumbe ni sitaki nataka ,unatumia Ile kanuni Yakama unasusa vile , basi hapo sawa bwashee
Ushindani na watu kama nyinyi sitaki tena yule kaweka dislike 👎 Seran akija ataweka 🤬Hahaha kumbe basi tumepangwa bwashee , tule mtori tu nyama zipo chini
Namaanisha uenyekiti wa chama, au nyinyi mna maanisha nini bwashee?Nimejifunza maji yako siingii tena 🙌🙌🙌😂
Bwashee ngoja nikuibie siri , huyo mtoto ni chombo asee, usifanye ajizi mangi.Bwashee usi nilishe maneno, kwani nime kataa au kukubali nini?
Mi nazungumzia uenyekiti wangu tu.
Aaah mwanangu watu wanachange id tu hakuna wapyaUshindani na watu kama nyinyi sitaki tena yule kaweka dislike 👎 Seran akija ataweka 🤬
Bora nijitoe nisubir wagen wapya 😅😅😅
Una maanisha Husninyo, Ume juaje au usha muona kwa picha bwashee?Bwashee ngoja nikuibie siri , huyo mtoto ni chombo asee, usifanye ajizi mangi.