Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,252
- 10,497
Umejitahidi kadri uwezavyo yaani....Bwashee inakuje siku hizi unauliza majibu badala ya maswali 😂
Umejitahidi kadri uwezavyo yaani....Bwashee inakuje siku hizi unauliza majibu badala ya maswali 😂
HahaaIlikua Sio wine kumbe ni marue ya ulevi asee
Wana sema hata kiziwi kuna muda ana sikia, mi ni nani nibishe😊.Shauri yako ujichanganye. Hahaha
Dah mambo itabidi aseeHahaa
Baki na mbege tu sasa, km beer kdg unakuwa huoni mbele kama kuna wine au spirit
Kwamba mimi ni slow mover kama konokono?Umejitahidi kadri uwezavyo yaani....
Mwezi gani labda tujueMtoa mada yuko wapi aniambie kwanini katubagua tuliozaliwa miezi ya huko juu juu, ina maana sisi sio binadamu au
Hahaha una buku ya karibu hapo?Umejitahidi kadri uwezavyo yaani....
Bwashee unauliza majibu kinoumaKwamba mimi ni slow mover kama konokono?
Ngoja IBM akutumie chapHahaha una buku ya karibu hapo?
Ujue how satan I am au? Maana naona hapa mmejipendelea binadamu wa May to DecMwezi gani labda tujue
Satani kivipi?Ujue how satan I am au? Maana naona hapa mmejipendelea binadamu wa May to Dec
Lipi hilo nipate experience 🤣LIMENIKUTA TUKIO😳ðŸ˜, bado wewe🤣🤣🤣🤣
Nashukuru sana, hiyo itunze tu siku nyingineNgoja IBM akutumie chap
Au zile pisi zako zilikukorogea mjani kwenye shishaDah mambo itabidi asee
Mwanangu we acha tu halafu nilikuwa fresh tu nilipoanza kukapenda tu ndo kametokomea😳😳Lipi hilo nipate experience 🤣
Kwanini aombe marafiki wa May 21 to Dec. Sisi tuliotangulia ni sio binadamu hatufai 🥹Satani kivipi?
Factors zipi zinafanya iwe hivo?