min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,572
Zile Sio pisi ni mafis ya mjini, pombe Huwa ya kijinga sana,😂Au zile pisi zako zilikukorogea mjani kwenye shisha
Zile Sio pisi ni mafis ya mjini, pombe Huwa ya kijinga sana,😂Au zile pisi zako zilikukorogea mjani kwenye shisha
Huenda unafaaa kuwa na sisi ambao tumezaliwa miezi hiyo ya kwanza🤣Kwanini aombe marafiki wa May 21 to Dec. Sisi tuliotangulia ni sio binadamu hatufai 🥹
Ule ni utangulizi, njoo na kiini mwenyewe.Sasa umesikiliza maelekezo ya min -me au bado hujamuelewa?
Pole sana 🤣Zile Sio pisi ni mafis ya mjini, pombe Huwa ya kijinga sana,😂
Miezi ya kukata kabichi badala ya kekiHuenda unafaaa kuwa na sisi ambao tumezaliwa miezi hiyo ya kwanza🤣
Bwashee naona pasi ni nyingi, ngoja mfungaji Husninyo aje amalizie.Dah jamaa akifeli kapenda mwenyewe
Sema Mimi nikilewa hua mtata sana kwenye kujilinda na vibaka hasa hawa wadada🤣Pole sana 🤣
Siku ingine toka na washkaji, achana na wadada wa mjini. Watakuibia simu
Ni jina la kawaida kabisa huku JapanKakumamoto ndo kanini?😅😅😅
Siku utakutana na wahuni wa MatejooSema Mimi nikilewa hua mtata sana kwenye kujilinda na vibaka hasa hawa wadada🤣
Team scorpion 😌Nimepost hapa hapa, Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali!
Je umezaliwa tarehe zifuatazo 👇 kama jibu ni 'Ndio' karibu tuunge urafiki?
👉 Mei 21 hadi 31,
👉 Juni 1 hadi 20,
👉 Novemba 22 hadi 30
👉 Desemba 1 hadi 21
Napenda kuconnet na wewe mtajwa hapo juu kwa ajili ya urafiki.
Wapenz fuso Zima khaaahHivi kweli ndivyo unavyomuita mpenzi wako paka wewe😏
Dah nije nioe tu asee , chapati gani nazipika hizi kama ramani ya Venezuela na mabakabaka ya kuungua kama chuiSiku utakutana na wahuni wa Matejoo
Unapanda na yeye anapanda 😂 utajua hujui
Huu mwaka nahisi nitapata kisukari , Sio kwautamu huo bebeSi ndio.. bebe zako tunakupambania bwashee😂
Sijawapanga mimiHahaha kumbe basi tumepangwa bwashee , tule mtori tu nyama zipo chini
Bwashee nakuachia asee 😂