Januari 20 mpaka Februari 18

Januari 20 mpaka Februari 18

A Father

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
1,386
Reaction score
606
Kwenye kujenga mahusiano ya hiari na urafiki wa hiari, kama umezaliwa kwenye tarehe zinazoanzia Januari 20 mpaka Februari 18, wazingatie zaidi waliozaliwa kwenye tarehe zifuatazo
mwishoni
- zinazoanzia March 21-31
- zinazoanzia May 21-31
- zinazoanzia July 23-31
- zinazoanzia September 23-30
- zinazoanzia November 22-30

mwanzoni
- zinazoanzia April 1-19
- zinazoanzia June 1-20
- zinazoanzia August 1-22
- zinazoanzia October 1-22
- zinazoanzia December 1-21
 
huu utakuwa unajimu kama ule uliokuwa ukifanywa na kina dr matunge enzi hizo
 
Back
Top Bottom