min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,588
Hapo nitakua nimelamba hasara aseeBoom unaoa asiyejua kupika chapati 😁
Hapo nitakua nimelamba hasara aseeBoom unaoa asiyejua kupika chapati 😁
We shangaa tu wenzako wanajiokotea😂😅😅 Kumbe watu wanapata humu ..
Kwani lazima ule chapati?Hapo nitakua nimelamba hasara asee
Hii pombe Sio nzuri kiafya bwashee😅😅 Pachua kifuniko cha hii ndio utasawazishaaa.. na ntuuu cha speedoView attachment 3525249
Nakuja nitaoga huko huko kaka😅😅 Njoo Montana hapa , Nina mtoto wa kiarabu mmoja mkali kabisa Kwa ajiri yako
Vya kuota sio, ile unaokota waweza kula teke la matako hadi ukaangukia kichwaWe shangaa tu wenzako wanajiokotea😂
Ile na wewe ,umesahau wapMovie gani chagua😅
😅😅 Utaogeshewa maji yenye marashiNakuja nitaoga huko huko kaka
Pole wacha tupime upepo! Utatangaza tena usiwaze 😂Kiukwel sikufichi nimetangaza ndoa mpaka kwenye group la familia ila angalia nimeachwa matatani kaka
Acha nije kupooza machungu ya stars huko😅😅 Utaogeshewa maji yenye marashi
Ndio pombe langu la kwanza miaka hiyoo 😅😅.. Ukiwa wapiga hiyo miaka hiyo waonekana wa maana na labda kama vile una helaHii pombe Sio nzuri kiafya bwashee
Kuna mda nasikia hamu nazo tu , na supu ya kuku wa kienyeji hapo nakua fresh kabisaKwani lazima ule chapati?
Mwaka umeuanza vibaya kijana! Mi nawatuliza hapa hapa hakuna mahali tunaenda😄Nyege wapi wewe yaani mtoto huyo tulianza kuzama sasa sijui imekuwaje aisee
Ameniharibia furaha ya mwaka mpya bora asingenicheki dec 28 ningekuwa nina furaha kama vipi njoo pm unitulize😀
Siwezi kuchiti🤣Bwashee tatizo sipendwi au unataka wanangu wafanane na wewe
Basi mtoto nishampanga hapa anukia marashiii hatarii na harufu ya utuli.. ushindwe wewe tu kazi yangu nimemalizaAcha nije kupooza machungu ya stars huko
❌Pole wacha tupime upepo! Utatangaza tena usiwaze 😂
Supu ya kuku wa kienyejii ni tamuu sanaaa.. hasa ukute ana kamba Bado kwenye mguui 😁😁Kuna mda nasikia hamu nazo tu , na supu ya kuku wa kienyeji hapo nakua fresh kabisa
Sawa simp! Kuanzia leo we ni simp😃Amejuaje me nina genye alizosema yeye, wakati akili yangu imemjaaa ua la waridi, me kwa huyo demu wacha niitwe simp tu🤣🤣
Anikome!!Labda kupitia uandishi wako una viashiria vya nyege... Acha uvivu ruka juuu mkamalizane