Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,734
- 86,387
Lete nikupikie chapati wewe.. mwanaume na kupika wapi na wapi😅Dah nije nioe tu asee , chapati gani nazipika hizi kama ramani ya Venezuela na mabakabaka ya kuungua kama chui
Lete nikupikie chapati wewe.. mwanaume na kupika wapi na wapi😅Dah nije nioe tu asee , chapati gani nazipika hizi kama ramani ya Venezuela na mabakabaka ya kuungua kama chui
Tutakusaidia kulamba mpaka ishukee🤪Huu mwaka nahisi nitapata kisukari , Sio kwautamu huo bebe
Si ndio😂 kumbe unajua eeh
Uje na Ile movie nipate utangulizi kwanza😅Lete nikupikie chapati wewe.. mwanaume na kupika wapi na wapi😅
Labda kupitia uandishi wako una viashiria vya nyege... Acha uvivu ruka juuu mkamalizaneAmejuaje me nina genye alizosema yeye, wakati akili yangu imemjaaa ua la waridi, me kwa huyo demu wacha niitwe simp tu🤣🤣
😋Tutakusaidia kulamba mpaka ishukee🤪
Wanahitaji wachumba marafikiJanuary 2026, bado tunahitaji marafiki?
😅😅 Ndio nakuja kamuokoe maji yasisababishe mafurikoMimi najua itakuaje bwashee 😅
Msukuma na waji wapi na wapi , huo Sio mto kagera bwashee😅😅 Ndio nakuja kamuokoe maji yasisababishe mafuriko
Si wanawafahamu vyedi, ata mi nilikuwa sijui kufungua pm🤣🤣🤣Hawa wenyeji wanahasira kali ukiwatongoza wanakuona kama fisadi
Acha nisubir mtu asiyejua hata kufunga PM
😅 ziwa Victoria lina ilisha mto Nile ujueMsukuma na waji wapi na wapi , huo Sio mto kagera bwashee
Mambo ya Wala ndizi ya pwachupwachu hapo hakuna bwashee , una jua pops sound , just like kifuniko cha kalamu ya spido kikifunguliwa?😅 ziwa Victoria lina ilisha mto Nile ujue
Movie gani chagua😅Uje na Ile movie nipate utangulizi kwanza😅
Boom unaoa asiyejua kupika chapati 😁Dah nije nioe tu asee , chapati gani nazipika hizi kama ramani ya Venezuela na mabakabaka ya kuungua kama chui
😅😅 Pachua kifuniko cha hii ndio utasawazishaaa.. na ntuuu cha speedoMambo ya Wala ndizi ya pwachupwachu hapo hakuna bwashee , una jua pops sound , just like kifuniko cha kalamu ya spido kikifunguliwa?