Anazuga haelewi. HahahahaBi dada hapo juu mkali
Anatufelisha akishindwa nipewe mimi huyo mtoto mzuri bwasheeMwenyekiti umekuja kuwaje dakika za mwisho aseeeeee
Huyo dada kafanyaje tena?, maana mi sija mchokoza wala kumpiga bwashee.Bi dada hapo juu mkali
Kakumamoto ndo kanini?😅😅😅Ngoja niende zangu Tinder
Umeona sasa kuingilia vya watu ushapigwa dislike 🤣🤣🤣🤣🤣Anatufelisha akishindwa nipewe mimi huyo mtoto mzuri bwashee
Ndugu zangu Kwani tulikuwa na malengo ya kufanikisha nini?, halafu nawe una penda watoto ehh?Anatufelisha akishindwa nipewe mimi huyo mtoto mzuri bwashee
Si kwetu ni furaha ndiyo tunapambania dislike 👎 hii ndiyo iniumize kaka 😆😆😆Umeona sasa kuingilia vya watu ushapigwa dislike 🤣🤣🤣🤣🤣
Si tulisema akileta tunachukua kiongoziNdugu zangu Kwani tulikuwa na malengo ya kufanikisha nini?, halafu nawe una penda watoto ehh?
Au unataka zile nyekundu😎😎🤣Si kwetu ni furaha ndiyo tunapambania dislike 👎 hii ndiyo iniumize kaka 😆😆😆
Yesu hawezi kuwa shujaa wangu, ila wahenga walisema mambo mazuri haya hitaji haraka.Kaka hapo nyuma hukuaga hivyo ,umempokea yesu kuwa bwana na mwokozi wako nini?
Ile siku nililewa kuamka nmejikuta bafuni dah whiskey +spirit + beerNjiani watu wameisha!!
Hata zile nyekundu nishakula sana kawaida sio kila mtu atakubal unachonena 🤗Au unataka zile nyekundu😎😎🤣
Chelewa chelewa utakuta mwana Sio wako bwasheeYesu hawezi kuwa shujaa wangu, ila wahenga walisema mambo mazuri haya hitaji haraka.
Nielekezeni taratibu ili nielewe, badala ya kukazana kusema nafeli wapi.