Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

Wanabodi

Kwa mnaotaka kuifahamu Freemasons, angalia Clouds TV now, Mkuu wa Freemasons Kanda ya Afrika Mashariki na Kati, Sir Andy Chande anaweka kila kitu wazi!.

Kipindi kimekwisha!.

My Take!.
Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu freemasons!.

Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza inafanikaje na inafanyika ili iweje?.
2. Alipoelezwa huwa wanafanya "ceremonies" hakukuliza ni sherehe za nini na zinafanyikaje?.
3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini hawaruhusiwi?.
4. Ameeleza hawana siri zozote ila tuu ya jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo siri ni za nini?.
5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wajati taifa limepata majanga kibao?.
7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani, alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo?.
8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Hukutana usiku wa manane?.
9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.

Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando with a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.

All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.

Thanks

Pasco.
Mi nakuunga mkono ndugu,
nadhani hata lugha yenyewe iliyotumika (English) labda ilimpa shida kidogo Gerald Hando hadi kuuliza leading questions na kuacha kuuliza mabo mengi ya msingizi kuwawezesha watamzamaji kuijua vizuri kwanza Freemasons kabla hawajaingia kichwakichwa alafu wakatuana na terms and conditions ngumu mbele ya safari.

kwa mfano:
1. hakuuliza baadhi ya alama za vidole wanazotumia (vidole viwili wanavyotumiwa hata wanamuziki wa nje) zina mana gani
2. Sir Chande alisema kutoka level moja kwenda ya juu kuna mitihani mtu anapewa mpaka afaulu ndiyo apande cheo, hajauliza mfumo wa hiyo mitihani ikoje au conditions zake zikoje
3. Swala la kwamba hakuna financial gains kma alivyosema Sir Chande hakuuliza mbona karibia wanachama wote wa Freemasons duniani wanaonekana kuwa na utajiri mkubwa tena wakupindikia na kila anayeingia huko hufanikiwa.
4. na kama hakuna siri angemuuliza kwa Tanzania members wao ni wakina nani?
5. Kwanini ukitaka kuingia Freemason mpaka kwanza uwe na dini na umuamini Mungu lakini mukishaingia huko hamruhusiwi kuzumzia dini japo hata kama kila mtu ana dini yake.
6. Nini ilikuwa dhamira ya kuanzisha Freemason na nini on return muanzlishi alitegemea kupata havikuwa wazi.

kwa kifupi shoo haikuwa nzuri mana mahojiano na majibu ya Sir Andy Chande yalionyesha Freemason ni kama dini ya kawaida kama Islam, Cristianity, Hindu n.k kitu ambacho mimi binafsi sitaki kukubali
 
Mkuu Ndahani, enzi za Max Shimba, tuliwahi kubishana sana kuhusu shetani!.
dini nyingi zina limit thinking ya waumini wake, sisi Wakristu limit yetu ya thinking ni uwepo wa Mungu, haturusiwi to think beyond, huyu Mungu, alitoka wapi, alianzaje na source yake ni nini, tunafundishwa tuu kuwa yeye ndiye mwanzo na mwisho, Alfa na Omega!.

Pia tunatajiwa uwepo wa shetani, hatuambiwi huyu shetani alianzaje na kama ni muharibifu hivi, kwa nini Mungu hamuangamizi, dunia ikapata amani!.

Mimi baada ya kuishi India, nikasoma kidogo Eastern Sciences just for knowledge, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islam ndizo dini mpya za juzijuzi, Hinduism na Budhiism zilitangulia sana, ukizisoma vedas, unapata mwanga mpya wa self awarenes inayakufanya uwe na uwezo wa kuhoji beyond God!.

Kwa vile mimi ni Mkatoliki die hard!, nilipokuwa Italy, nilitafuta fursa ya kufika St. Peter Basilica, wale wanaofika pale kwa ajili ya kuabudu, you can't query anything, mimi kwa vile nilisha visoma sana vitabu vya Malachi Martin, hivyo nilipofika nilitamani kuutafuta ukweli beyond huu tuusikiao na ndipo nikafahamu!.

Sipendi kuwatisha wale ambao limit ya thinking yao end with God, ila naomba niwajulishe kuwa mwanzo wa Mungu, pia ndio mwanzo wa satan, na Lucifer, sio tuu ndiye alikuwa 2nd in comand baada ya God the father, he is still is!. Lucifer alipoasi, Mungu alimfukuza ila hana uwezo wa kumuangamiza!. Mungu Baba anauwezo mkubwa kuliko shetani, ila shetani nae anaowezo wa pili chini ya Mungu. Uwezo pekee wa Mungu ambao shetani hana ni Kuumba, na kutoa uhai!. Mengine yote ambayo Mungu anayaweza na shetani pia anayaweza. Hivyo kuna hawa wahubiri kibao wanafanya miujiza kwa jina la Mungu, lakini aliyewapa uwezo huo wa kufanya miujiza hiyo sio Mungu ni shetani!.

Kabla Mungu hajamuumba Adam, baada ya uasi wa shetani, Mungu akashauriana na NENO, malaika mkuu Mikaeli, na Gabrieli, tuumbe kiumbe kitakacho tutii, ndipo akamuumba Adam!. Mara baada ya Mungu kumumba Adam, kweli Adam alikuwa mtii, shetani akamdhihaki Mungu, kuwa ataupimaje utii wa Adam kama hana temptations, akamsisitiza ili kuupima utii wa kweli, Mungu amruhusu shetani amtempt huyo Adam, akivishinda vishawishi ndipo Mungu atathibitisha kweli yeye Mungu ndiye zaidi!. Shetani akasuggest the type ya temptation!.

Mungu alipomuumba Eva, pia akaviweka vile viungo vya temptation kama shetani alivyoshauri ni Mungu akawapa maonyo Adam na Eva kuhusu matumizi ya viungo hivyo ambavyo kwenye Biblia vimeitwa "tunda" na tendo limeitwa "mti wa mema na mabaya"!. Mema ni uzima, mabaya ni kifo!. Mungu akawaambia wakila matunda ya mti huo ni hakika watakufa!. na shetani waka bet nani zaidi!.

Ili kumlinda Adam na Eva na ushiwishi wa shetani, Mungu akaweka malaika wawili wenye upanga wa moto pale getini, kuzuia shetani asipite. Shetani akajigeuza nyoka akapenya getini na kuingia bustanini!. Alipofika ndani, akajigeuza a very handsome man na kumfanyia timing Adam akamange mane mbali kidogo!.

Eva akashtuka kuona kuna kuna binadamu mwingine zaidi ya Adam!. Ndipo shetani akamuuliza Eva, hicho kiungo "tunda" ni cha nini?, Eva akamjibu, ni cha mema na mabaya Mungu katukataza tusivitumie!. Shetani akamwambia Eva, Mungu amewadanganya, hilo tunda la mti wa katikati, ndilo tunda tamu kuliko matunda yote (kweli au sii kweli?), na ukilila tunda hili, utapata raha kubwa kuliko raha zote duniani (kweli au sii kweli?) lakini zaidi ya yote hayo, shetani akamuhakikishia Eva, kuwa wakila tunda hilo, sio tuu watapata raha kubwa kuliko zote, bali pia watakuwa na uwezo wa Kimungu, wa kujiumbia viumbe wengine wengine wadogo! (prpcreation)!.

Kwa vile hayo mambo Eva hayajui, shetani akamuonjesha namna ya kumega tunda! kwa kumshughulikia na kweli, Eva alifurahi, alienjoy na kukiri hakuwahi kula tunda tamu kama lile!, na siku hiyo Eva ali mconceive Cain!. Baada ya Eva kuonjeshwa dose ya shetani, Adamu aliporudi, Eva akalazimisha anataka, japo Adamu alisita sana, Eva alimfanyia manjonjo kama alivyoelekezwa na shetani na kumuelekeza Adam jinsi ya kula "tunda", Adam akaingia line, tunda likamegwa, na baada ya kula wakaishia usingizini!.

Yote hayo yakifanyika Mungu anaona na hakuwa na uwezo wa kumzuia kwa sababu ita was a bet!. Ndipo Mungu akamuita Adam, na for the first time wakajistukia viongo hivyo ni vya nini, wakajiona uchi na kuanza kujificha!. Shetani alishinda, binadamu alimuasi Mungu and HE had no way out, bali kuwafukuza toka ndani bustani na kumpa Adam adhabu ya kula kwa jasho lake baada ya kukubali kudanganywa na mwanamke!, na Eva akapewa adhabu ya kubeba mimba miezi 9 na kuzaa kwa uchungu kufidia utamu wa starehe ya shetani!.

Tangu hapo ni kweli binadamu wakapata uwezo wa Kimungu kuzaa watoto, Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba maumbile ya procreation kuwa kama "handshake" au hata "polination", vile viungo ni mpango wa shetani, na lile tendo ni la kishetani!.

Mtoto wa kwanza wa Eva , yule Cain ni product ya shetani ndio maana akazaliwa na tabia za baba yake, na mtoto wa Adam ni Abel. Na ndio maana sisi Wakatoliki tunaamini lile tendo la kumtengeneza mtoto ni dhambi as a result, mtoto ni product ya dhambi hivyo kuzaliwa na ndhambi ya asili (original sin) ya Adamu na Eva na ili kuiondoa kila mtoto hutakiwa kubatizwa ASAP akishazaliwa!.

Sasa kitu ambacho Gerald Hando hakuambiwa kuhusu hawa freemasons, ni kuwa huyo supreme being wanaye muabudu ambnaye sio Mungu ni nani?, ili uweze kumuabudu shetani, lazima kwanza uamini Mungu ndipo shetani aonyeshe uwezo wake zaidi ya Mungu na kukubali kuwa mfuasi wa shetani kwa kufanyiwa "initiation" once in, always in, na ukichange mind kuamua kutaka kutoka nje, Satan himself, will deal with you!. Ukisha fanyiwa "initiation" unaonyeshwa what will befall you if you decide to walk out!, and you'll never even think!.

Pasco.

Pasco tuko pamoja na hiyo ndio confusion ya hii fraternity. Labda ntakuwa waelewa siku moja maana ile ya Gerald Hando ilikuwa shallow sana...hakujua kuulizia yale yanayotia watu dukuduku.
 
Sir chande nimemsoma vizuri sana kutoka sources mbalimbali,,huyu jamaa cheo cha SIR alipewa na queen elizabeth ambae ndo mfuasi mkubwa wa wamasonia,,

Sitaki kueleza meengi sana ..

Kuna official websites ya kujua vizuri,
Vist Andy Chande

Hapo ndo utajua ni wafuasi wa ibilisi tosha kabisa..
 
Mkuu Ndahani, enzi za Max Shimba, tuliwahi kubishana sana kuhusu shetani!.

dini nyingi zina limit thinking ya waumini wake, sisi Wakristu limit yetu ya thinking ni uwepo wa Mungu, haturusiwi to think beyond, huyu Mungu, alitoka wapi, alianzaje na source yake ni nini, tunafundishwa tuu kuwa yeye ndiye mwanzo na mwisho, Alfa na Omega!.

Pia tunatajiwa uwepo wa shetani, hatuambiwi huyu shetani alianzaje na kama ni muharibifu hivi, kwa nini Mungu hamuangamizi, dunia ikapata amani!.

Mimi baada ya kuishi India, nikasoma kidogo Eastern Sciences just for knowledge, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islam ndizo dini mpya za juzijuzi, Hinduism na Budhiism zilitangulia sana, ukizisoma vedas, unapata mwanga mpya wa self awarenes inayakufanya uwe na uwezo wa kuhoji beyond God!.

Kwa vile mimi ni Mkatoliki die hard!, nilipokuwa Italy, nilitafuta fursa ya kufika St. Peter Basilica, wale wanaofika pale kwa ajili ya kuabudu, you can't query anything, mimi kwa vile nilisha visoma sana vitabu vya Malachi Martin, hivyo nilipofika nilitamani kuutafuta ukweli beyond huu tuusikiao na ndipo nikafahamu!.

Sipendi kuwatisha wale ambao limit ya thinking yao end with God, ila naomba niwajulishe kuwa mwanzo wa Mungu, pia ndio mwanzo wa satan, na Lucifer, sio tuu ndiye alikuwa 2nd in comand baada ya God the father, he is still is!. Lucifer alipoasi, Mungu alimfukuza ila hana uwezo wa kumuangamiza!. Mungu Baba anauwezo mkubwa kuliko shetani, ila shetani nae anaowezo wa pili chini ya Mungu. Uwezo pekee wa Mungu ambao shetani hana ni Kuumba, na kutoa uhai!. Mengine yote ambayo Mungu anayaweza na shetani pia anayaweza. Hivyo kuna hawa wahubiri kibao wanafanya miujiza kwa jina la Mungu, lakini aliyewapa uwezo huo wa kufanya miujiza hiyo sio Mungu ni shetani!.

Kabla Mungu hajamuumba Adam, baada ya uasi wa shetani, Mungu akashauriana na NENO, malaika mkuu Mikaeli, na Gabrieli, tuumbe kiumbe kitakacho tutii, ndipo akamuumba Adam!. Mara baada ya Mungu kumumba Adam, kweli Adam alikuwa mtii, shetani akamdhihaki Mungu, kuwa ataupimaje utii wa Adam kama hana temptations, akamsisitiza ili kuupima utii wa kweli, Mungu amruhusu shetani amtempt huyo Adam, akivishinda vishawishi ndipo Mungu atathibitisha kweli yeye Mungu ndiye zaidi!. Shetani akasuggest the type ya temptation!.

Mungu alipomuumba Eva, pia akaviweka vile viungo vya temptation kama shetani alivyoshauri ni Mungu akawapa maonyo Adam na Eva kuhusu matumizi ya viungo hivyo ambavyo kwenye Biblia vimeitwa "tunda" na tendo limeitwa "mti wa mema na mabaya"!. Mema ni uzima, mabaya ni kifo!. Mungu akawaambia wakila matunda ya mti huo ni hakika watakufa!. na shetani waka bet nani zaidi!.

Ili kumlinda Adam na Eva na ushiwishi wa shetani, Mungu akaweka malaika wawili wenye upanga wa moto pale getini, kuzuia shetani asipite. Shetani akajigeuza nyoka akapenya getini na kuingia bustanini!. Alipofika ndani, akajigeuza a very handsome man na kumfanyia timing Adam akamange mane mbali kidogo!.

Eva akashtuka kuona kuna kuna binadamu mwingine zaidi ya Adam!. Ndipo shetani akamuuliza Eva, hicho kiungo "tunda" ni cha nini?, Eva akamjibu, ni cha mema na mabaya Mungu katukataza tusivitumie!. Shetani akamwambia Eva, Mungu amewadanganya, hilo tunda la mti wa katikati, ndilo tunda tamu kuliko matunda yote (kweli au sii kweli?), na ukilila tunda hili, utapata raha kubwa kuliko raha zote duniani (kweli au sii kweli?) lakini zaidi ya yote hayo, shetani akamuhakikishia Eva, kuwa wakila tunda hilo, sio tuu watapata raha kubwa kuliko zote, bali pia watakuwa na uwezo wa Kimungu, wa kujiumbia viumbe wengine wengine wadogo! (prpcreation)!.

Kwa vile hayo mambo Eva hayajui, shetani akamuonjesha namna ya kumega tunda! kwa kumshughulikia na kweli, Eva alifurahi, alienjoy na kukiri hakuwahi kula tunda tamu kama lile!, na siku hiyo Eva ali mconceive Cain!. Baada ya Eva kuonjeshwa dose ya shetani, Adamu aliporudi, Eva akalazimisha anataka, japo Adamu alisita sana, Eva alimfanyia manjonjo kama alivyoelekezwa na shetani na kumuelekeza Adam jinsi ya kula "tunda", Adam akaingia line, tunda likamegwa, na baada ya kula wakaishia usingizini!.

Yote hayo yakifanyika Mungu anaona na hakuwa na uwezo wa kumzuia kwa sababu ita was a bet!. Ndipo Mungu akamuita Adam, na for the first time wakajistukia viongo hivyo ni vya nini, wakajiona uchi na kuanza kujificha!. Shetani alishinda, binadamu alimuasi Mungu and HE had no way out, bali kuwafukuza toka ndani bustani na kumpa Adam adhabu ya kula kwa jasho lake baada ya kukubali kudanganywa na mwanamke!, na Eva akapewa adhabu ya kubeba mimba miezi 9 na kuzaa kwa uchungu kufidia utamu wa starehe ya shetani!.

Tangu hapo ni kweli binadamu wakapata uwezo wa Kimungu kuzaa watoto, Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba maumbile ya procreation kuwa kama "handshake" au hata "polination", vile viungo ni mpango wa shetani, na lile tendo ni la kishetani!.

Mtoto wa kwanza wa Eva , yule Cain ni product ya shetani ndio maana akazaliwa na tabia za baba yake, na mtoto wa Adam ni Abel. Na ndio maana sisi Wakatoliki tunaamini lile tendo la kumtengeneza mtoto ni dhambi as a result, mtoto ni product ya dhambi hivyo kuzaliwa na ndhambi ya asili (original sin) ya Adamu na Eva na ili kuiondoa kila mtoto hutakiwa kubatizwa ASAP akishazaliwa!. Watoto wate duniani, wanazaliwa na dhambi ya asili, ispokuwa Mtoto Yesu ambaye alizaliwa na Bikira Maria aliyekingiwa dhambi ya asili, hivyo Yesu sio product ya dhambi!.

Ndio maana makasisi wetu Katoliki hawaruhusiwi kuoa ili wasilifanye hilo tena, lakini kabla hawajapewa daraja ya ukasisi, kwanza ni lazima wafanyiwe vipimo kuwadhibitisha ni rijali hivyo kule kuvumilia tamaa za kimwili, ndio sadaka ya kweli ya upadirisho, na ni kiukweli kabisa mapadri wa Katoliki ni wasafi kabisa kama watakatifu na tendo hilo ambalo ni dhambi huwa hawalifanyi kabisa!. (tafadhalini sana kuhusu hili, nawaombeni msiwasingizie mapadiri wetu lolote)!.

Vivyo hivyo wale masista wa Katoliki nao wote ni kama B. Maria, sadaka yao ni kujizua kutofanya kosa kama la Eva, nao hufanyiwa vipimo kuwathibitisha wanatamani kufanya alichokifanya Eva ila wanajizuia!. Masista wetu wote ni wasafi kama malaika na hata mavazi yao huwa meupe kama theluji kuthibisha usafi wa mwili, moyo na roho!.

Sasa kitu ambacho Gerald Hando hakuambiwa kuhusu hawa freemasons, ni kuwa huyo supreme being wanaye muabudu ambnaye sio Mungu ni nani?, ili uweze kumuabudu shetani, lazima kwanza uamini Mungu ndipo shetani aonyeshe uwezo wake zaidi ya Mungu na kukubali kuwa mfuasi wa shetani kwa kufanyiwa "initiation" once in, always in, na ukichange mind kuamua kutaka kutoka nje, Satan himself, will deal with you!. Ukisha fanyiwa "initiation" unaonyeshwa what will befall you if you decide to walk out and you'll never even think of quitting out of fear!. (Jamaa wanaogofya!, kilichomtokea Daudi Mwangosi ni afadhali mara mia!)

Pasco.
...mkuu Pasco...hii hadithi yako inafanana na movie zinazoitwa Clash of Tinanis...na wrath of tinanis...ushaziona..hizi...creation btwn man and god....thanx...
 
Last edited by a moderator:
Elimu ndingine bwana!

Pasco,
Original sin, ni kutotii na sio uzinifu. Soma Biblia vizuri, Baada ya kuwaumba aliwaambia zaeni mkaongezeke, wangezaaje sasa? By induction osmosis au transpiration? Ndoa ya kwanza ni ya Adam na hawa ambayo Mungu aliibariki mwenyewe. Walipo ambiwa wasile tunda la kati, shetani akamhadaa hawa wakala kosa ni kuto tii Kile Mungu alisema. Kama huamini ni mti wa mema na mabaya, kwa nini usimuulize Mungu kupitia roho wake akupe siri? Maana Jeremiah 33:3 amesema niite nami nitakuitikia na kukuonyeha mambo makubwa magumu usiyo yajua. This means yako mambo mengi hatuyajui, na tutajua tu tukitaka na kumwita kama alivyo sema ktk neno lake. Kuhusu Cain Biblia inasema watoto wote wanatoka kwa Mungu. kila mtoto ni wa Mungu and so was Cain.

Laiti ungeendelea kumtafuta Mungu kwa bidii wewe kama wewe baada ya kusikia stories and all that learnings, ndipo ungemjua vema Mungu maana wamtafutao kwa bidii wanamuona na anajifunua kwao na kuwaambia yote yawapasayo.
Maana haiingi akilini kwamba malaika hao hao ndio walio mpiga na kumfukuza shetani Mbinguni wakashindwa kumjua alipojigeuza kuwa nyoka na kuwapita. Hapo ume-limit uweza wa Mungu Baba wa Mbinguni kwa malaika wake. Kumjua Mungu inategemea na na kiu na juhudi binafsi kama iliyo shule, na msingi wake ni wokovu. Mungu yupo na anaongea na hivyo anaweza kutoa majibu yote yenye mashaka kwake. Neno la Mungu bila Roho Mtakatifu ni kazi bure, maana shetani anaijua Biblia kuliko sisi. the move of the spirit of the Almight God brings the word into action (effectiveness).

Huwa ninapata mashaka sana na wanacho amini ndugu zangu wa dini kama RC like i used to be, kwa kweli Mungu awasaidie, kwa sababu hawa kubali wokovu, ambao Kristo aliuleta. huwezi kuokoka kwa kurithi dini au dhehebu. Tunapata vipi wokovu?,
Ni ukweli ulio wazi kwamba Bwana Yesu alikufa na kumwaga damu yake pale Msalabani kwaajili ya ulimwengu mzima, lakini watu hawataokolewa mpaka wamemkiri na kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wao. wokovu una sehemu/ hatua tatu.

Tunapata wokovu kwa Imani na kwa kukiri kwa kinywa chako mwenyewe ya kwamba Yesu ni Bwana na mwokozi wa Maisha yako (here your spirit get saved), it is not automatic to be saved. you have to believe and declare with your own mouth that Jesus is the Lord and saviour. Kama ilivyo andikwa ktk 1wakorintho.

Mabadiliko ya roho ya mtu, (Transformation of the soul), by renewing of the mind, this deals with consciousness and subconsciousness. inahitaji juhudi binafsi za kumsogelea Mungu kwa maombi yasiokoma (unstoppable prayers), Kujifunza neno la Mungu na kubadili tabia kabisa, kuliishi neno. Ndipo hapa mtu hatua kwa hatua anabadilika na kuwa na mpya katika matendo yake na maneno. this is where the subconscous is brought to a divine editing and here one becomes and new breed. Ni hatua muhimu sana maana ndiyo inayom-badilisha mtu. Unaweza ukashangaa mtu ameokoka lakini ana act crazy ni kwasababu ya hii. Haitegemeani na kubatizwa wala kunena kwa lugha ya roho Mtakatifu, bali juhudi binafsi katika kumtafuta na kumkaribia Mungu. Huu ni wokovu wa roho.

hatua ya tatu ya wokovu ni wokovu wa mwili ambao utakuwa siku ile Yesu atakapo rudi kama alivyo ahidi, mwili huu utafufuka kutoka wafu. kwa maneno mengine wokovu ni safari inayo anzia hapa hapa duniani na wakati ni huu.

Shetan hana chochote, ni mwizi na mwongo tokea mwanzo. hivyo kumpa utukufu ni kukosea. the Devil is so low.....liar
Mkuu Grey, asante sana na ubarikiwe sana!. Usiwe na wasiwasi kabisa kuhusu sisi Watoliki na wakovu wa dunia hii!, sisi tuko kwenye lile kundi la Bwana ambalo "TUTAOKOLEWA KWA NEEMA NA SIO KWA MATENDO"
Bwana Asifiwe sana!.
 
Hawa masons mnawapa attention hata wasiyostahili kabisa.

Hawana lolote la ajabu wala spesho.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Pasco wewe ni zaidi ya mwalimu

mkuu ndahani, enzi za max shimba, tuliwahi kubishana sana kuhusu shetani!.

Dini nyingi zina limit thinking ya waumini wake, sisi wakristu limit yetu ya thinking ni uwepo wa mungu, haturusiwi to think beyond, huyu mungu, alitoka wapi, alianzaje na source yake ni nini, tunafundishwa tuu kuwa yeye ndiye mwanzo na mwisho, alfa na omega!.

pia tunatajiwa uwepo wa shetani, hatuambiwi huyu shetani alianzaje na kama ni muharibifu hivi, kwa nini mungu hamuangamizi, dunia ikapata amani!.

Mimi baada ya kuishi india, nikasoma kidogo eastern sciences just for knowledge, ndipo nikagundua kumbe christianity na islam ndizo dini mpya za juzijuzi, hinduism na budhiism zilitangulia sana, ukizisoma vedas, unapata mwanga mpya wa self awarenes inayakufanya uwe na uwezo wa kuhoji beyond god!.

Kwa vile mimi ni mkatoliki die hard!, nilipokuwa italy, nilitafuta fursa ya kufika st. Peter basilica, wale wanaofika pale kwa ajili ya kuabudu, you can't query anything, mimi kwa vile nilisha visoma sana vitabu vya malachi martin, hivyo nilipofika nilitamani kuutafuta ukweli beyond huu tuusikiao na ndipo nikafahamu!.

Sipendi kuwatisha wale ambao limit ya thinking yao end with god, ila naomba niwajulishe kuwa mwanzo wa mungu, pia ndio mwanzo wa satan, na lucifer, sio tuu ndiye alikuwa 2nd in comand baada ya god the father, he is still is!. Lucifer alipoasi, mungu alimfukuza ila hana uwezo wa kumuangamiza!. Mungu baba anauwezo mkubwa kuliko shetani, ila shetani nae anaowezo wa pili chini ya mungu. Uwezo pekee wa mungu ambao shetani hana ni kuumba, na kutoa uhai!. Mengine yote ambayo mungu anayaweza na shetani pia anayaweza. Hivyo kuna hawa wahubiri kibao wanafanya miujiza kwa jina la mungu, lakini aliyewapa uwezo huo wa kufanya miujiza hiyo sio mungu ni shetani!.

Kabla mungu hajamuumba adam, baada ya uasi wa shetani, mungu akashauriana na neno, malaika mkuu mikaeli, na gabrieli, tuumbe kiumbe kitakacho tutii, ndipo akamuumba adam!. Mara baada ya mungu kumumba adam, kweli adam alikuwa mtii, shetani akamdhihaki mungu, kuwa ataupimaje utii wa adam kama hana temptations, akamsisitiza ili kuupima utii wa kweli, mungu amruhusu shetani amtempt huyo adam, akivishinda vishawishi ndipo mungu atathibitisha kweli yeye mungu ndiye zaidi!. Shetani akasuggest the type ya temptation!.

Mungu alipomuumba eva, pia akaviweka vile viungo vya temptation kama shetani alivyoshauri ni mungu akawapa maonyo adam na eva kuhusu matumizi ya viungo hivyo ambavyo kwenye biblia vimeitwa "tunda" na tendo limeitwa "mti wa mema na mabaya"!. Mema ni uzima, mabaya ni kifo!. Mungu akawaambia wakila matunda ya mti huo ni hakika watakufa!. Na shetani waka bet nani zaidi!.

Ili kumlinda adam na eva na ushiwishi wa shetani, mungu akaweka malaika wawili wenye upanga wa moto pale getini, kuzuia shetani asipite. Shetani akajigeuza nyoka akapenya getini na kuingia bustanini!. Alipofika ndani, akajigeuza a very handsome man na kumfanyia timing adam akamange mane mbali kidogo!.

Eva akashtuka kuona kuna kuna binadamu mwingine zaidi ya adam!. Ndipo shetani akamuuliza eva, hicho kiungo "tunda" ni cha nini?, eva akamjibu, ni cha mema na mabaya mungu katukataza tusivitumie!. Shetani akamwambia eva, mungu amewadanganya, hilo tunda la mti wa katikati, ndilo tunda tamu kuliko matunda yote (kweli au sii kweli?), na ukilila tunda hili, utapata raha kubwa kuliko raha zote duniani (kweli au sii kweli?) lakini zaidi ya yote hayo, shetani akamuhakikishia eva, kuwa wakila tunda hilo, sio tuu watapata raha kubwa kuliko zote, bali pia watakuwa na uwezo wa kimungu, wa kujiumbia viumbe wengine wengine wadogo! (prpcreation)!.

Kwa vile hayo mambo eva hayajui, shetani akamuonjesha namna ya kumega tunda! Kwa kumshughulikia na kweli, eva alifurahi, alienjoy na kukiri hakuwahi kula tunda tamu kama lile!, na siku hiyo eva ali mconceive cain!. Baada ya eva kuonjeshwa dose ya shetani, adamu aliporudi, eva akalazimisha anataka, japo adamu alisita sana, eva alimfanyia manjonjo kama alivyoelekezwa na shetani na kumuelekeza adam jinsi ya kula "tunda", adam akaingia line, tunda likamegwa, na baada ya kula wakaishia usingizini!.

Yote hayo yakifanyika mungu anaona na hakuwa na uwezo wa kumzuia kwa sababu ita was a bet!. Ndipo mungu akamuita adam, na for the first time wakajistukia viongo hivyo ni vya nini, wakajiona uchi na kuanza kujificha!. Shetani alishinda, binadamu alimuasi mungu and he had no way out, bali kuwafukuza toka ndani bustani na kumpa adam adhabu ya kula kwa jasho lake baada ya kukubali kudanganywa na mwanamke!, na eva akapewa adhabu ya kubeba mimba miezi 9 na kuzaa kwa uchungu kufidia utamu wa starehe ya shetani!.

Tangu hapo ni kweli binadamu wakapata uwezo wa kimungu kuzaa watoto, mungu alikuwa na uwezo wa kuumba maumbile ya procreation kuwa kama "handshake" au hata "polination", vile viungo ni mpango wa shetani, na lile tendo ni la kishetani!.

Mtoto wa kwanza wa eva , yule cain ni product ya shetani ndio maana akazaliwa na tabia za baba yake, na mtoto wa adam ni abel. Na ndio maana sisi wakatoliki tunaamini lile tendo la kumtengeneza mtoto ni dhambi as a result, mtoto ni product ya dhambi hivyo kuzaliwa na ndhambi ya asili (original sin) ya adamu na eva na ili kuiondoa kila mtoto hutakiwa kubatizwa asap akishazaliwa!. Watoto wate duniani, wanazaliwa na dhambi ya asili, ispokuwa mtoto yesu ambaye alizaliwa na bikira maria aliyekingiwa dhambi ya asili, hivyo yesu sio product ya dhambi!.

Ndio maana makasisi wetu katoliki hawaruhusiwi kuoa ili wasilifanye hilo tena, lakini kabla hawajapewa daraja ya ukasisi, kwanza ni lazima wafanyiwe vipimo kuwadhibitisha ni rijali hivyo kule kuvumilia tamaa za kimwili, ndio sadaka ya kweli ya upadirisho, na ni kiukweli kabisa mapadri wa katoliki ni wasafi kabisa kama watakatifu na tendo hilo ambalo ni dhambi huwa hawalifanyi kabisa!. (tafadhalini sana kuhusu hili, nawaombeni msiwasingizie mapadiri wetu lolote)!.

Vivyo hivyo wale masista wa katoliki nao wote ni kama b. Maria, sadaka yao ni kujizua kutofanya kosa kama la eva, nao hufanyiwa vipimo kuwathibitisha wanatamani kufanya alichokifanya eva ila wanajizuia!. Masista wetu wote ni wasafi kama malaika na hata mavazi yao huwa meupe kama theluji kuthibisha usafi wa mwili, moyo na roho!.

Sasa kitu ambacho gerald hando hakuambiwa kuhusu hawa freemasons, ni kuwa huyo supreme being wanaye muabudu ambnaye sio mungu ni nani?, ili uweze kumuabudu shetani, lazima kwanza uamini mungu ndipo shetani aonyeshe uwezo wake zaidi ya mungu na kukubali kuwa mfuasi wa shetani kwa kufanyiwa "initiation" once in, always in, na ukichange mind kuamua kutaka kutoka nje, satan himself, will deal with you!. Ukisha fanyiwa "initiation" unaonyeshwa what will befall you if you decide to walk out and you'll never even think of quitting out of fear!. (jamaa wanaogofya!, kilichomtokea daudi mwangosi ni afadhali mara mia!)

pasco.
 
Nimependa comments zako Pasco. Nisichokijua ni kilichokuwa nyuma ya pazia ya kipindi chenyewe; Je! kipindi kilikusudia kuueleza undani wa freemason kwa uma wa Tanzania ili wauone ubaya wake? au kilikusudia kupromoti u-freemason ili wapate wanachma wengi Tanzania?

I cry for our children maana siku hizi hawa watu wanajaribu ku-impart hizi attitude zao kwa watoto kutumia curiculum esp. nyingi za hizi shule za school bus...God have mercy on us na wazazi kwa ulimbukeni wanawaacha watoto wao wakijua ni civilization!
 
Ndugu yangu Pasco,

Mungu hana wa kufananishwa nae, hana mpinzani......yeye ni mwanzo na mwisho, alfa na omega:..aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo. Katuumba sisi na shetani pia, shetani kumbuka aliasi na kutupiliwa mbali, hana lolote la kuweza kumlinganisha na Mungu wetu mkuu

shetani ni muasi tena baba wa uongo! Dhuluma na fitna kwa wanadamu ameshashindwa kwani Mungu katoa sadaka kubwa sana kwa ajili ya ukombozi wetu wanadamu, nayo ni mwana wake pekee Yesu Kristo, aliyekufa msalabani ili damu yake iwe dhabihu ya kweli ya kutusafisha dhambi zetu.

Tusizungumzie dini zetu, kuwa katoliki au lutheran au anglikana au pentecoste siyo tija au tiketi ya wokovu na kwenda mbinguni. Muhimu ni kukiri na kuupokea neema ya wokovu, tena tukiomba unyenyekevu kwa Mungu

naona tunaipaisha sana freemansory lakini mipango yake yote ishashindwa tayari katika jina la Yesu. Amen
 
  • Thanks
Reactions: Ame
usihofu dear nitakupeleka!
Panda ki-hiece cha ngara ushukie duka la njano halafu rudi nyuma blocks tatu utakuta mfereji wa maji,vuka mfereji na utembee hatua 20-25 ,kulia kwako utaona jengo jeupe dogo kiasi.
Ukifika alhamisi kuanzia mida ya saa moja usiku utaona magari ya gharama yamepark kwa nje na hapo ndipo wanapokutana.

Hapo uliposema panaitwa maili sita ila ni mahali pa kuchezea kamari

Sent from my nokia 3310 using JamiiForums
 
FreeMason wa kihindi huyu...............

315396_450624641635645_2114049003_n.jpg
 
unajua sometimes gerald nae binadamu labda alikuwa anaogopa kuuliza maswali magumu ukichanganya pia alikwenda kwa wenyewe tena, you may never know
 
Hapo nahisi kaongea hivyo ili kukwepa maandamano ya watu fulani...........lakini anamaanisha unatakiwa uvae kanzu nyeupe kama wanavyovaa wale walalamishi. Walalamishi nao huwa wanaamini mtu anakuja duniani mtupu nje hadi tumboni na anatakiwa azikwe mtupu. Huu ni mtazamo wangu binafsi.

Hamuwezi nyinyi kuzungumza mada bila kuwagusia waislamu. Ni sawa na CCM kuongea jambo bila kuigusia CHADEMA. mf. Gesi mtwara. Naona watakuwa wamekushika pabaya, pole.
 
Alisema sifa kubwa ya kuwa Freemasons lazima kwanza uwe na umri wa miaka 21 na lazima uwe unaamini Mungu, ila ni mungu yoyote, God, Allah, Budha, Krishna, etc, wapangani au wenye kuabudu dini za kiasili hawaruhusiwi kuwa members!.

WAPAGANI AU WENYE KUABUDU DINI ZA KIASILI HAWARUHUSIWI KUWA MEMBERS.. Kwakuwa hao tayari washakuwamo ndani ya nyavu ya Shetani!
 
acha uongo umeshaambiwa huko kuna level tofauti tofauti yaan degree na zipo 33 sasa wewe utasemaje kuna equality ikiwa kuingia kwenye lodge zao kunategemea level (degree) yko?
 
Back
Top Bottom