Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

watu weupe walipokuja afrika walitukuta tunaabudu miti, mawe, mizimu n.k wakatuona ni washenzi na miungu yetu, wakatuambia mungu haonekani kwa macho wakatumia miaka mingi waki-propagate hii fikra mpaka tukaamini na tukaanza kuwaona wasioamini kama makafiri/wapagani. tukabadilisha hadi majina yetu tukachukua majina yanayofanana na ya kwao. na kuyaona ni mazuri na yale ya kwetu yanatuaibisha. Ni kawaida siku hizi kukuta mwafrika ana majina ambayo yeye mwenyewe hawezi ku-pronounce kwa ufasaha.Sasa wao (weupe)wameamua kuacha kufuata walivyotuletea wamegundua ushetani wameuleta tena ili tuache dini walizotuletea. ukichunguza ni kama wanaturudisha tulikotoka lakini in a modern fashion. :target: na hii ni hatari kwani enzi zile wachache walikuwa wameelimika lakini kwa sasa wako wengi hivyo kama ni taifa ni rais kuwabadilisha wengi kwani bado zile forces zinazoathiri imani ya mtu zinafanya kazi kwa nguvu sana sasa hivi kama uchumi, Afya, sera za kimataifa (mf.haki za mashoga-Gayz and Lesbian Alliance Against Discremination 'GLAAD') Dini za uyoga n.k
lets back to the roots:majani7:
 
nliwahi kusoma article moja hawa freemanson wanadai wakristo ni wanafiki kwakuwa imeandikwa uombapo usifanye kama wanafiki wafanyavyo wao hupayukapayuka, bali wewe ingia nyumbani kwako kwa siri muombe mungu kwasiri nae atakujaza kwa siri. hii ndo inayofanya wao wawe wanasali kwa siri.
 
Teh teh teh teh teh teh!
 
Sihitaji tuition kuamini ninachokiamini sasa kutapatapa na dini huku kwa nn ama nani kaffka akasema flani dini yk ttzo?
 
obama ameruhusu ku-implant microchip kwa wamarekani kwa ajili ya afya. sio siri hii pia ni ishu ya kutazama, kimsingi tunakoenda sasa ni fumbo. kimsingi natumai wazungu wa-ulaya pia wata-adopt hii kisha kama kawaida bendera inayofuata upepo yaani sisi waafrika tutaikubali hii. sijajua kama sisi binadamu kama tunahaja ya kuishi kama kompyuta yaani tuwe na microchip kwenye miili yetu, ila kuna wanaoiona hii kama mpango wa kimasonic katika kui-control dunia huko tuendako, nami siwezi kuondoa hii shaka kwani ninaheshimu diversity ya mawazo
 
Kwa kuwa tumefahamu badhi mambo kuhusu fremason ni vyema mtu ajiepushe na mazingira yote yatakayokupelekea kuingia huko ... Hatari!!!!
 
Freemasons ni taasisi ya kijamii kusaidia shughuli mbali za misaada mfano MV Kagera ilipozama, yeye alimpigia simu mkuu wa Freemasons wa Uingereza, Malkia Elizabeti wa Uingereza hivyo walileta msaada wa Pauni 10,000 za Uingereza (just imagine kile kivuno)!.

mv kagera???
 
Grand lodge leader of freemason. Nafikiri ni kipindi cha marudio
Mkuu Platozoom, unaweza kuunganisha na hii ili kuitia nyama zaidi.

Wanabodi

Kwa mnaotaka kuifahamu Freemasons, angalia Clouds TV now, Mkuu wa Freemasons Kanda ya Afrika Mashariki na Kati, Sir Andy Chande anahojiwa na Gerald Hando na kuweka what is purported to be "kila kitu hadharani!".

Kipindi kimekwisha!.

My Take!.
Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu inside freemasons!.

Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza hii "initiation",inafanika vipi?, na ni kwa nini kila
member lazima afanyiwe?!.
2. Alipoelezwa huwa fremasons wanafanya "ceremonies" hakukuliza hizo ni ceremonies za kusherehekea nini na zinafanyikaje?!.
3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member wa freemasons lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini
hawaruhusiwi?!, kama sio dini, what does dini ya mtu got to do freemasons.
4. Ameeleza hawana siri zozote (no secret) ila tuu ishara za jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo ishara za siri
ni za nini, what for and why secret?!.
5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wakati taifa
limepata majanga kibao?.
7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani,
alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia
lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo? na ikitokea asiyehusika kuingia lodge isiyomhusu, nini huwa kinamkuta?!.
8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Kwanini hukutana usiku wa manane?, mikutano yao huwaje?,
wakikutana wanafanya nini?!.
9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.

Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando for a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.

All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.

Thanks

Pasco.
 
Pasco anadhani Sir Andy Chande anaweza kufanya interview bila kuwa na ushawishi wa maswali ya kuulizwa? Hujawahi kuletewa maswali ya kuuliza na kuambiwa stick to the script?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli Gerald
ameni-disappoint sana katika interview hii. Yani kama vile Chande ndio
alikuwa anaongoza...badala ya kuchimbua mambo anayoyasema Chande juu
juu, unaona Chande akifika mahali Gerald anasema kwa kurudia
alichomalizia kusema anakifanya kiwe kama swali "kwa hiyo umesema
freemasonry hawatoi pesa eh!?"..aahhg!!Very poor interview!
Anyways, nisimlaumu sana. Amejitahidi kidogo!
My Opinion to Interviwers: Jitahidini jamani mfanye homework yenu
kabla hamjaenda eneo la tukio. You need to learn and know most of the
things already known or written, ili uweze kujua maeneo zaidi
yanayotatiza ndio uyaulize. Waandishi tujitahidi kuwa interviewers not
just reporters!!

salama mtafute bana huyu jama umuhoji mimi nakukubali wewe umtwange maswali matano tuu yanatosha
 
SalAma tumdhaniar anAweza kuwa mwoga. Ana moyo wa nyama naye.
Ama interview inaweza kupangwa na a in ya Maswal tu kuulizwa.
 
Pasco ningekuwa kwenye facility fulani ningekupa reputation kubwa kwa critical thinking this much. Nitakuwekea facility zikiruhusu. Ila sasa serikali imesharuhusu masuala haya na ya dini kuwa part of discussions. Nafikiri ni bora yangeendelea kuwa private affairs.
 
Back
Top Bottom