Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

oooh kumbe pale.....nilisikia hivyo nikauliza wenyeji....wakaniambia ni casino.....nikajiuliza casino gani lina madirisha kama jela.....kesho nitapita kupata details zaidi.....asante sana.....

usisahau kutupa feedback.............na kuvaa dera!
 
Exactly that is what he did, he is well in brain. Are you member of society or support it...........what is your perception on this

My perception: mason is an organization of men bound together with a philosophy of moral standards, mutual understanding and brotherhood in which all men are on a level and equal.
 
Watu wanakuja duniani na white pajamas? Na hizo rituals hajatolea mfano?
Hapo nahisi kaongea hivyo ili kukwepa maandamano ya watu fulani...........lakini anamaanisha unatakiwa uvae kanzu nyeupe kama wanavyovaa wale walalamishi. Walalamishi nao huwa wanaamini mtu anakuja duniani mtupu nje hadi tumboni na anatakiwa azikwe mtupu. Huu ni mtazamo wangu binafsi.
 
My perception: mason is an organization of men bound together with a philosophy of moral standards, mutual understanding and brotherhood in which all men are on a level and equal.

Where do you send your charity?
 
Amasema nini? Kila tukinywa maji ya kilimanjaro tunachangia charity? Teh teh teh! Unajua watu wa leo bwana...mchana anakuwa na dini hii halafu usiku anajiunga na nyingine. Kazi mbona ipo.

Sijui kasema nini lakini naelewa atasema nini, u mason siyo dini ni organization kama zingine, wapo wenye dini na wasio na dini.
 
Sijui kasema nini lakini naelewa atasema nini, u mason siyo dini ni organization kama zingine, wapo wenye dini na wasio na dini.

And you want me to believe that? What does believing in supreme being mean?
 
My perception: mason is an organization of men bound together with a philosophy of moral standards, mutual understanding and brotherhood in which all men are on a level and equal.

Duh! kwa hiyo nikiingia level yangu inakuwa moja na Mkapa..............And for "degrees of mason" you can say 1st degree is equal to 33th degree?
 
hii kitu nahisi joining rate ya bongo ni kubwa sana khaa...
 
And that is the only reason I believe it is also a religion. Nikipata password ntajaribu kwenda chungulia nini kinaendelea huko.

[h=3]Religious Aspects of Freemasonry[/h] Freemasonry as an organization does recognize the existence of Supreme Being, and new members are required to swear that they hold such a belief. Beyond that, however, Freemasonry has no religious requirements, nor does it teach specific religious beliefs. In fact, neither politics nor religion are to be discussed within a Masonic lodge, which makes defining Freemasonry as a religion to be rather absurd. Freemasonry is no more religious than the Boy Scouts, which requires members to believe in some sort of higher power.

Source: Is Freemasonry a Religion? - Occultism and the Free Masons – Masonic Conspiracy Theories
 
oooh kumbe pale.....nilisikia hivyo nikauliza wenyeji....wakaniambia ni casino.....nikajiuliza casino gani lina madirisha kama jela.....kesho nitapita kupata details zaidi.....asante sana.....

kuna siku lile jengo lilipata dhoruba ya kuungua moto,of course vitu vilivyoonekana ni pool table na machupa ya whisky thats why wenyeji wakahisi ni casino.
 
Hapo nahisi kaongea hivyo ili kukwepa maandamano ya watu fulani...........lakini anamaanisha unatakiwa uvae kanzu nyeupe kama wanavyovaa wale walalamishi. Walalamishi nao huwa wanaamini mtu anakuja duniani mtupu nje hadi tumboni na anatakiwa azikwe mtupu. Huu ni mtazamo wangu binafsi.

Ok,kumbe ni kanzu?nashukuru kwa clarification.
 
Wanabodi

Kwa mnaotaka kuifahamu Freemasons, angalia Clouds TV now, Mkuu wa Freemasons Kanda ya Afrika Mashariki na Kati, Sir Andy Chande anaweka kila kitu wazi!.

Kipindi kimekwisha!.

My Take!.
Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu freemasons!.

Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza inafanikaje na inafanyika ili iweje?.
2. Alipoelezwa huwa wanafanya "ceremonies" hakukuliza ni sherehe za nini na zinafanyikaje?.
3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini hawaruhusiwi?.
4. Ameeleza hawana siri zozote ila tuu ya jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo siri ni za nini?.
5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wajati taifa limepata majanga kibao?.
7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani, alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo?.
8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Hukutana usiku wa manane?.
9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.

Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando with a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.

All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.

Thanks

Pasco.

Kwa kweli Gerald ameni-disappoint sana katika interview hii. Yani kama vile Chande ndio alikuwa anaongoza...badala ya kuchimbua mambo anayoyasema Chande juu juu, unaona Chande akifika mahali Gerald anasema kwa kurudia alichomalizia kusema anakifanya kiwe kama swali "kwa hiyo umesema freemasonry hawatoi pesa eh!?"..aahhg!!Very poor interview!
Anyways, nisimlaumu sana. Amejitahidi kidogo!
My Opinion to Interviwers: Jitahidini jamani mfanye homework yenu kabla hamjaenda eneo la tukio. You need to learn and know most of the things already known or written, ili uweze kujua maeneo zaidi yanayotatiza ndio uyaulize. Waandishi tujitahidi kuwa interviewers not just reporters!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom