Mkuu Ndahani, enzi za Max Shimba, tuliwahi kubishana sana kuhusu shetani!.
dini nyingi zina limit thinking ya waumini wake, sisi Wakristu limit yetu ya thinking ni uwepo wa Mungu, haturusiwi to think beyond, huyu Mungu, alitoka wapi, alianzaje na source yake ni nini, tunafundishwa tuu kuwa yeye ndiye mwanzo na mwisho, Alfa na Omega!. 1
Pia tunatajiwa uwepo wa shetani, hatuambiwi huyu shetani alianzaje na kama ni muharibifu hivi, kwa nini Mungu hamuangamizi, dunia ikapata amani!. 2
Mimi baada ya kuishi India, nikasoma kidogo Eastern Sciences just for knowledge, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islam ndizo dini mpya za juzijuzi, Hinduism na Budhiism zilitangulia sana, 3 ukizisoma vedas, unapata mwanga mpya wa self awarenes inayakufanya uwe na uwezo wa kuhoji beyond God!.
Kwa vile mimi ni Mkatoliki die hard!, nilipokuwa Italy, nilitafuta fursa ya kufika St. Peter Basilica, wale wanaofika pale kwa ajili ya kuabudu, you can't query anything, mimi kwa vile nilisha visoma sana vitabu vya Malachi Martin, hivyo nilipofika nilitamani kuutafuta ukweli beyond huu tuusikiao na ndipo nikafahamu!.
Sipendi kuwatisha wale ambao limit ya thinking yao end with God, ila naomba niwajulishe kuwa mwanzo wa Mungu, pia ndio mwanzo wa satan, na Lucifer, sio tuu ndiye alikuwa 2nd in comand baada ya God the father, he is still is!. Lucifer alipoasi, Mungu alimfukuza ila hana uwezo wa kumuangamiza!. 4.Mungu Baba anauwezo mkubwa kuliko shetani, ila shetani nae anaowezo wa pili chini ya Mungu. Uwezo pekee wa Mungu ambao shetani hana ni Kuumba, na kutoa uhai!. Mengine yote ambayo Mungu anayaweza na shetani pia anayaweza. Hivyo kuna hawa wahubiri kibao wanafanya miujiza kwa jina la Mungu, lakini aliyewapa uwezo huo wa kufanya miujiza hiyo sio Mungu ni shetani!.
Kabla Mungu hajamuumba Adam, baada ya uasi wa shetani, Mungu akashauriana na NENO, malaika mkuu Mikaeli, na Gabrieli,5 tuumbe kiumbe kitakacho tutii, ndipo akamuumba Adam!. Mara baada ya Mungu kumumba Adam, kweli Adam alikuwa mtii, shetani akamdhihaki Mungu, kuwa ataupimaje utii wa Adam kama hana temptations, akamsisitiza ili kuupima utii wa kweli, Mungu amruhusu shetani amtempt huyo Adam, akivishinda vishawishi ndipo Mungu atathibitisha kweli yeye Mungu ndiye zaidi!. Shetani akasuggest the type ya temptation!.
Mungu alipomuumba Eva, pia akaviweka vile viungo vya temptation kama shetani alivyoshauri ni Mungu akawapa maonyo Adam na Eva kuhusu matumizi ya viungo hivyo ambavyo kwenye Biblia vimeitwa "tunda" 6 na tendo limeitwa "mti wa mema na mabaya"!. Mema ni uzima, mabaya ni kifo!. Mungu akawaambia wakila matunda ya mti huo ni hakika watakufa!. na shetani waka bet nani zaidi!.
Ili kumlinda Adam na Eva na ushiwishi wa shetani, Mungu akaweka malaika wawili wenye upanga wa moto pale getini, kuzuia shetani asipite. Shetani akajigeuza nyoka akapenya getini na kuingia bustanini!. Alipofika ndani, akajigeuza a very handsome man na kumfanyia timing Adam akamange mane mbali kidogo!.
Eva akashtuka kuona kuna kuna binadamu mwingine zaidi ya Adam!. Ndipo shetani akamuuliza Eva, hicho kiungo "tunda" ni cha nini?, Eva akamjibu, ni cha mema na mabaya Mungu katukataza tusivitumie!. Shetani akamwambia Eva, Mungu amewadanganya, hilo tunda la mti wa katikati, ndilo tunda tamu kuliko matunda yote (kweli au sii kweli?), na ukilila tunda hili, utapata raha kubwa kuliko raha zote duniani (kweli au sii kweli?) lakini zaidi ya yote hayo, shetani akamuhakikishia Eva, kuwa wakila tunda hilo, sio tuu watapata raha kubwa kuliko zote, bali pia watakuwa na uwezo wa Kimungu, wa kujiumbia viumbe wengine wengine wadogo! (prpcreation)!.
Kwa vile hayo mambo Eva hayajui, shetani akamuonjesha namna ya kumega tunda! kwa kumshughulikia na kweli, Eva alifurahi, alienjoy na kukiri hakuwahi kula tunda tamu kama lile!, na siku hiyo Eva ali mconceive Cain!. Baada ya Eva kuonjeshwa dose ya shetani, Adamu aliporudi, Eva akalazimisha anataka, japo Adamu alisita sana, Eva alimfanyia manjonjo kama alivyoelekezwa na shetani na kumuelekeza Adam jinsi ya kula "tunda", Adam akaingia line, tunda likamegwa, na baada ya kula wakaishia usingizini!.
Yote hayo yakifanyika Mungu anaona na hakuwa na uwezo wa kumzuia kwa sababu ita was a bet!. Ndipo Mungu akamuita Adam, na for the first time wakajistukia viongo hivyo ni vya nini, wakajiona uchi na kuanza kujificha!. Shetani alishinda, binadamu alimuasi Mungu and HE had no way out, bali kuwafukuza toka ndani bustani na kumpa Adam adhabu ya kula kwa jasho lake baada ya kukubali kudanganywa na mwanamke!, na Eva akapewa adhabu ya kubeba mimba miezi 9 na kuzaa kwa uchungu kufidia utamu wa starehe ya shetani!.
Tangu hapo ni kweli binadamu wakapata uwezo wa Kimungu kuzaa watoto, Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba maumbile ya procreation kuwa kama "handshake" au hata "polination", vile viungo ni mpango wa shetani, na lile tendo ni la kishetani!.
Mtoto wa kwanza wa Eva , yule Cain ni product ya shetani ndio maana akazaliwa na tabia za baba yake, na mtoto wa Adam ni Abel. Na ndio maana sisi Wakatoliki tunaamini lile tendo la kumtengeneza mtoto ni dhambi as a result, mtoto ni product ya dhambi hivyo kuzaliwa na ndhambi ya asili (original sin) ya Adamu na Eva na ili kuiondoa kila mtoto hutakiwa kubatizwa ASAP akishazaliwa!.
Sasa kitu ambacho Gerald Hando hakuambiwa kuhusu hawa freemasons, ni kuwa huyo supreme being wanaye muabudu ambnaye sio Mungu ni nani?, ili uweze kumuabudu shetani, lazima kwanza uamini Mungu ndipo shetani aonyeshe uwezo wake zaidi ya Mungu na kukubali kuwa mfuasi wa shetani kwa kufanyiwa "initiation" once in, always in, na ukichange mind kuamua kutaka kutoka nje, Satan himself, will deal with you!. Ukisha fanyiwa "initiation" unaonyeshwa what will befall you if you decide to walk out!, and you'll never even think!. 7
Pasco.