Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by platozoom, Sep 13, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 6,943
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280
  Grand lodge leader of freemason. Nafikiri ni kipindi cha marudio
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,168
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ndio nani huyo? ana umuhimu gani kwa watz?
   
 3. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 6,943
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280
  Anasem istaafu uongozi mwaka 2005......na aliingia akiwa na miaka 35, anaema instution iliyoanzishwa zaidi ya miaka 200 iliyopita
   
 4. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jamaa wameamua kujitokeza live sasa
   
 5. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 20,888
  Likes Received: 7,106
  Trophy Points: 280
  Wanabodi

  Kwa mnaotaka kuifahamu Freemasons, angalia Clouds TV now, Mkuu wa Freemasons Kanda ya Afrika Mashariki na Kati, Sir Andy Chande anahojiwa na Gerald Hando na kuweka what is purported to be "kila kitu hadharani!".

  Kipindi kimekwisha!.

  My Take!.
  Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu inside freemasons!.

  Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
  1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza hii "initiation",inafanika vipi?, na ni kwa nini kila
  member lazima afanyiwe?!.
  2. Alipoelezwa huwa fremasons wanafanya "ceremonies" hakukuliza hizo ni ceremonies za kusherehekea nini na zinafanyikaje?!.
  3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member wa freemasons lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini
  hawaruhusiwi?!, kama sio dini, what does dini ya mtu got to do freemasons.
  4. Ameeleza hawana siri zozote (no secret) ila tuu ishara za jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo ishara za siri
  ni za nini, what for and why secret?!.
  5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
  6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wakati taifa
  limepata majanga kibao?.
  7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani,
  alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia
  lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo? na ikitokea asiyehusika kuingia lodge isiyomhusu, nini huwa kinamkuta?!.
  8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Kwanini hukutana usiku wa manane?, mikutano yao huwaje?,
  wakikutana wanafanya nini?!.
  9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
  10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.

  Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando for a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.

  All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.

  Thanks

  Pasco.
   
 6. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 6,943
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280
  Anasema sio reliogion, ansema ni taasisi kubwa sana kwa africa ni Ghana na Nigeria
   
 7. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 537
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamaa wamekata umeme Atown,cjui ndio kutubania kuwajua undani hawa jamaa....
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 6,943
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280
  Inafundishi kuwajibika kwa Tanzania, charity, na familia
   
 9. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 20,888
  Likes Received: 7,106
  Trophy Points: 280
  Amesema yeye amejiunga mwaka 1951 lakini amekuwa "initiated" mwaka 1953.
   
 10. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 537
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Na huko kwa ulozi ndio wenyewe,lakini najua atakataa kuihusianisha institution hii na ushetani
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 66,418
  Likes Received: 18,835
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini kuna fascination na fixation ya hiyo freemason?
   
 12. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 6,943
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280
  Ina wanacham milioni 6 na inachangia zaidi. sifa za kuwa ni lazima uamini Mungu na mwamifu na kuwa muhisani na kujali familia
   
 13. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 20,888
  Likes Received: 7,106
  Trophy Points: 280
  Alipoulizwa Freemasons ni nini, amejibu Freemasons sio dini, sio imani, haina "dogma" wala haina kafara yoyote!.
   
 14. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Who cares about Freemasons?
   
 15. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,186
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  wangetuwekea sub taito maana hatumuelewi
   
 16. w

  wikama Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uyo jamaa kajitoa au bado yumo nae si atakufa ?
   
 17. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 6,943
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280
  Kuna kamati inayokuhoji kabla ya kujiunga na process ni very slow na inaweza kuchukua zaidi ya miezi 8.........na ili kuingia kwenye stage ya degree ya kwanza inachukua kama miaka 2........na utahojiwa sana.......Head of free mason is in UK.......NA WALIWAHI KUCHANGIA WAHANGA WA MV BUKOBA
   
 18. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 6,943
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280
  Kuna lodges 6 free mason katika east africa
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,381
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Lengo la kuja hapo ni nini?

  •kutafuta wanachama?
  •kuelimisha umuhimu wa freemason?
   
 20. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,329
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  freemasons-ni mkusanyiko wa mafundi mwashi duniani,simple and clear!
   
Loading...