Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,912
- 132,335
- Thread starter
- #21
Freemasons hawana mambo yoyote ya siri zaidi ya "rituals" na "ceremonies" ila siri ni jinsi wanavyotambuana kuna alama fulani za siri ambazo ni freemasons tuu watatambuana.