Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

Nani ni nani ndani ya Freemasons East Africa? Sir Chande hakuwa peke yake. Kwanini wanafanya siri? Let's know the list
 
Kumbe nilishiriki huu mjadala, maana nimekutana na likes kucheki kumbee.
Halafu mjadalani toka 2012, imepita miaka nane sasa. Ajabu ni kwamba members wa zamani
hasa Wadada wamepotea kabisa, sasa sijui kama wameipotezea JF ama 'wamezaliwa upya'!
 
Wanabodi,

Kwa mnaotaka kuifahamu Freemasons, angalia Clouds TV now, Mkuu wa Freemasons Kanda ya Afrika Mashariki na Kati, Sir Andy Chande anahojiwa na Gerald Hando na kuweka what is purported to be "kila kitu hadharani!".

Kipindi kimekwisha!.

My Take: Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu inside freemasons!.

Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.

1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza hii "initiation",inafanika vipi?, na ni kwa nini kila
member lazima afanyiwe?!.

2. Alipoelezwa huwa fremasons wanafanya "ceremonies" hakukuliza hizo ni ceremonies za kusherehekea nini na zinafanyikaje?!.

3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member wa freemasons lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini hawaruhusiwi?!, kama sio dini, what does dini ya mtu got to do freemasons.

4. Ameeleza hawana siri zozote (no secret) ila tuu ishara za jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo ishara za siri ni za nini, what for and why secret?!.

5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.

6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wakati taifa limepata majanga kibao?.

7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani, alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo? na ikitokea asiyehusika kuingia lodge isiyomhusu, nini huwa kinamkuta?!.

8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Kwanini hukutana usiku wa manane?, mikutano yao huwaje? wakikutana wanafanya nini?!.

9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.

10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.

Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando for a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.

All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.

Thanks

Pasco.
Haya maswali yalikuwa Konki kwelikweli, kwani hayupo kiongozi mkuu wa sasa ufanye naye interview?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom