Kesho nitawaletea Cv za Kigwangalla, Deo filikunjombe, Jafo nk
Nimegundua kisa cha vijana wengi kuiba mitihani na kufoji vyeti !
Mh. Lema kwenye hii list ndiyo kaongoza kwa kuwa kituko. Yani huyu jamaa ni "kilaza" full.
sasa mkunga na zile cv za uprofesa za mawaziri na wabunge wa ccm zimetusaidia nn miaka 50 baada ya uhuru...?????
JamiiForums siku hizi imeingiliwa!!
Hawa joiners wa mwaka huu wote inabidi wapewe orientation kidogo. Wawe wanasearch kwanza mada kama ilishawahi kujadiliwa hapa kabla ya kuja nayo tena. Hizi CV za hawa watu tumeshaziscuss kwa zaid ya miaka 3. Kila mtu anafahamu hawana shule na sidhani kama kuna jipya tena . Mods, muwe mnafanya kazi yenu ya kuziunganisha bana!!
Nyimbo za Ugaidi,Ukabila ,Udini na ukanda zimechuja sasa unakuja kwenye cv, uongozi siyo cv ni kipaji kutoka kwa mungu,ni madudu mangapi yanafanywa na watu wanao jiita wana Phd, mirambo alikuwa na cv ipi mbona ni shujaa na atakumbukwa na vizazi vyote.Hebu tupatie cv yako