Shoza, leo umeibukia kwenye CV's? huku sasa ndiyo kuhangaika kama kimtetea kinachotaka kutaga yai la kwanza!!
Mkuu umeshasema joiners, km ww ni mkongwe na mlishayajadili haya inabidi new members nao wapate fursa ya kuwajadili viongozi wao ambao hawana elimu, kiongozi ni kiigwa cha jamiiJamiiForums siku hizi imeingiliwa!!
Hawa joiners wa mwaka huu wote inabidi wapewe orientation kidogo. Wawe wanasearch kwanza mada kama ilishawahi kujadiliwa hapa kabla ya kuja nayo tena. Hizi CV za hawa watu tumeshaziscuss kwa zaid ya miaka 3. Kila mtu anafahamu hawana shule na sidhani kama kuna jipya tena . Mods, muwe mnafanya kazi yenu ya kuziunganisha bana!!
Njoo na hoja sio vitu vya kucopy na kupaste! sasa unataka tujadili pumba? wahi lumumba ukachukue chako
Join Date : 12th June 2013..............!!!!