Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

Status
Not open for further replies.
Hao wenye ma-degree's,ma-Phd's na Ma-professor si ndio wamejaa CCM kama hizo "shahada-vyeti" ndio kila kitu mbona nchi imekwama? 50years after indepence ndio kama tunaamka.Chama kilichosheheni watu wanaotamba kuwa na shahada za juu kimeshindwa si tu kubuni bari hata kuendeleza miradi iliyoanzishwa na wasomi enzi za Mwalimu kama SUKITA!
 
Naona bajet inasumbua maana M23 na bungeni 'simuoni' siku hizi

Mkuu Mzito Kabwela sio kwamba bajeti inasumbua isipokuwa kuna sintofahamu kati ya Nape na Mwigulu matokeo yake sasa ndio unaona lumumba project wanabishana wenyewe kwa wenyewe kutokana na nani wanayemuunga mkono.

m 23 muda mrefu hajaonekana lakini jana nimemuona amerudi wakati mwenzake bungeni yuko segerea ananyea debe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu babayako mbona kwenye hiyo CV ya Mbowe pia inaonyesha hakuna tarehe ya kuzaliwa kwa hiyo kumbe huyu Mh hakuzaliwa asee. Usisahau kutuwekea na Cv yako.
 
Huna hoja ya msingi.

Mm nimesoma shule sita za msingi wazazi wangu walikuwa wakihamishwa kikazi na ilinilazimu kuambatana nao.
Kwahiyo kusoma hata shule kumi na nne za primary inawezekana kwa miaka saba kama kila mhula unabadili shule.

Degree unayosema not complete maana yake on progress.

But kuna wengi wa CCM wana vyeti feki..ni bora hao wa Chadema hawajajipachika Elimu kwa vyeti feki.

Elimu ni nini?
Uongozi ni nini?

Jaribu kutafuta knowledge ili uweke uzio wa kujua mambo.

Nakumbuka enzi zile sikuwahi kuona wazazi wakilalamika na jamii pia ikalalamika kwamba kuna watoto wameshindikana..ni katika jamii ambayo watu hawakupata formal education.leo hii kuna watoto wa wasomi wameshindikana.
Usomi ni nini na kuwa na elimu ni nini na uongozi ni nini?

Tuna PhD holder wengi pale bungeni,naomba unisaidie kulinganisha michango ya Phd holder watatu tu na mchango wa mbunge mmoja kati ya ulowataja tuone ni nani ambaye ana elimu na mchango wake ni potential ktk jamii yetu ya Tanzania.
 
Mfa maji heshi kutapatapa. Mbona kuna wabunge kibao wa CCM ambao ni darasa la 7 tu na wala hatusemi? Mbona mbunge wa Masasi hakumaliza hata hiyo ya msingi, ameghushi vyeti sisi tumepotezea tu?

Watu makini huzungumzia mambo makini ya kuleta maendeleo. Watu wazembe huzungumzia watu. Je wewe uko kundi gani?

CHADEMA chama makini. Mipango yake makini. Kadri mnavyozidi kukihujumu ndivyo mnavyozidi kukiimarisha. Pongezi kwa kuendelea kukifanyia kampeni bila kulipwa, kilaza we! Nikikuita juha kalulu ntakuwa nimekusifia.

You poor thing! So sad.

Tehe tehe tehe.
 
Mkuu Mzito Kabwela sio kwamba bajeti inasumbua isipokuwa kuna sintofahamu kati ya Nape na Mwigulu matokeo yake sasa ndio unaona lumumba project wanabishana wenyewe kwa wenyewe kutokana na nani wanayemuunga mkono.

m 23 muda mrefu hajaonekana lakini jana nimemuona amerudi wakati mwenzake bungeni yuko segerea ananyea debe.

naona ufipa fc mmekutana..kwa hizi pumba zenu hakuna kupata miambili zenu leo, mtakoma na huu ndio mda wa chai
 
Last edited by a moderator:
Hebu tucheki kidogo Cv za hawa jamaa kama amabvyo zinanekna kwenye Tovuti ya Bunge.


1. Nikianza na Mwenyekiti wa Chama Taifa. CV haioneshi shule ya msingi na kidato cha kwanza hadi cha nne kasoma wapi na mwaka gani kama ambavyo za wabunge wenzake zinavyoonesha. Kidato cha sita alisoma bila kupitia elimu ya Msingi na ile ya kidato cha kwanza hadi cha nne?


Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable Member picture


First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli
Last Name: Mbowe
Member Type: Constituency Member
Constituent: Hai
Political Party: CHADEMA
Office Location: P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth


EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Secondary School Secondary Education - - HIGH SCHOOL


2. Mbilinyi kaunga unga sana hii elimu ya msingi yaani kasoma shule tatu tofauti kwa nini? Vivyo hivyo kidato cha Kwanza hadi cha nne. Ni dhahiri huyu allikuwa akifeli huku anakwenda kuanza kule japo haikumsaidia sana na akabakia hapo hapo kidato cha nne ambacho hatujui naye alizungusha kama Mwenyekiti wake.
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable Member picture


First Name: Osmund
Middle Name: Joseph
Last Name: Mbilinyi
Member Type: Constituency Member
Constituent: Mbeya Mjini
Political Party: CHADEMA
Office Location: Box 815, Mbeya
Office Phone: +255 716 627344
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: jmbilinyi@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 May 1972


EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Mbeya Secondary School O-Level Education 1988 1990 SECONDARY
Sabasaba Secondary School O-Level Education 1990 1991 SECONDARY
Ligula Primary School Primary Education 1981 1984 PRIMARY
Sokoine Primary School Primary Education 1984 1986 PRIMARY
Sisimba Primary School Primary Education 1986 1987 PRIMARY


3. Huyu sasa ndo kichekesho kabisa eti kamaliza tu Kidato cha nne , akaenda kuchukua shahada ya biblia, mfumo gani huu wa kumaliza kidato cha nne unakwenda kuchukua shahada potelea mbali hata kama ni ya masomo ya biblia. SLAA anaangukia kundi hili, kesho nitaiweka ya kwake hadharani.


Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable Member picture


First Name: Rev. Peter
Middle Name: Simon
Last Name: Msigwa
Member Type: Constituency Member
Constituent: Iringa Mjini
Political Party: CHADEMA
Office Location: Box 316, Iringa
Office Phone: +255 754 360996
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: pmsigwa@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 8 June 1965


EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
All Africa Bible College, South Africa B.Ministry 1999 2004 GRADUATE
Sangu Secondary School O-Level Education 1983 1986 SECONDARY
Magoye Primary School Primary Education 1976 1982 PRIMARY


4. Mcheki huyu sasa eti kamaliza darasa la saba mwaka 1989 na kidato cha kwanza kaanza mwaka huohuo(1989), mfumo wa nchi gani hiyo? Mbaya kabisa cheki hii, O-LEVEL(1989 hadi 1991) kidato cha nne miaka mitatu?


Jamani tunaibiwa, ufisadi huu wa elimu. Nitaendelea kuwaletea Cv za wengine kama mlivyoomba.
Halafu angalia hiyo remarks ya kwenye shahada "NOT COMPLITED" why not complited?


Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable Member picture


First Name: Godbless
Middle Name: Jonathan
Last Name: Lema
Member Type: Constituency Member
Constituent: Arusha Mjini
Political Party: CHADEMA
Office Location:
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: glema@parliament.go.tz


Member Status: Current Member
Date of Birth 26 October 1976
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Cambridge International College Diploma 2008 2010 DIPLOMA
Geita Secondary School O-Level Education 1989 1991 SECONDARY
Kolila Secondary School A-Level Education 1991 1993 SECONDARY
Kalangala Primary School Primary Education 1983 1989 PRIMARY
Cambridge International College Degree 2010 Todate NOT COMPLETED


Watanzania na hasa wasomi tuwe tunajaribu kuoanisha hoja za hawa wabunge wanapokuwa kule mjengoni na elimu zao badala ya kukimbilia kuwalaumu kuwa wanaropoka hovyo ni kwa sababu ya upeo wao mdogo unaotokana na viwango vidogo vya elimu waliyo nayo.


Kesho nitawaletea Cv za Kigwangalla, Deo filikunjombe, Jafo nk
Lady doctor njoo msome huyu mpuuzi wa waom! hizi ndio hoja zao za msingi!
Elimu vs Utendaji!
 
Last edited by a moderator:
Kwani mkuu babayako wewe ni mgeni hapa Tanzania?

Hao uliowaorodhesha wote wanajulikana ni "vilaza".

Sasa kwanini 'vilaza' wa namna hii wanawalazimsha kuanzisha thread kila baada ya dakika tano, kuwahusu wao..! Embu ninyi watetezi wa CCM tunataka tujadiliane hoja za msingi kututoa hapa tulipo (kiuchumi au kijamii n.k.) zaidi ya hizi cheap politics...Onesheni maturity ya kisiasa kwa kuanzisha hoja tafakurishi..!
 
Salma Kikwete (born on 30 November 1963) is the 4th First Lady of Tanzania and the wife of Tanzanian President Jakaya Kikwete. She has served as the country's First Lady since December 2005.
Kikwete originally worked as a teacher for more than twenty years.................

mkuu hapo umekosea au umefanya makusudi, mbona umeingia choo cha kike kabisa. Kikwete hajawahi kuwa mwalimu au ndio wale wale ulikimbia umande hujui ulichokiandika. Pia mke wa rais anatuhusu nn sisi, mama nyerere ni mama wa nyumbani, mama siti nk hata shule zao hatuzijui.. Hupati mia mbili yako leo.
 
Sasa kwanini 'vilaza' wa namna hii wanawalazimsha kuanzisha thread kila baada ya dakika tano, kuwahusu wao..! Embu ninyi watetezi wa CCM tunataka tujadiliane hoja za msingi kututoa hapa tulipo (kiuchumi au kijamii n.k.) zaidi ya hizi cheap politics...Onesheni maturity ya kisiasa kwa kuanzisha hoja tafakurishi..!

anzisha mkuu tutachangia. Ww ndio una nafuu kdg ktk wenzako wa ufipa fc
 
Sasa kama hao ndio majembe wa CDM, sijui chama hicho ni cha aina gani?
 
Kumbe ile anayoisemaga msigwa kuwa akili ndogo kuongoza akili kubwa inatoka mle mle ndani inawaumiza wenyewe ndio mana anaenda nayo hadi majukwaani. Ukiangalia maprofesa km baregu, safari kuongozwa na std seven ya akina mbowe lazima inauma sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom