Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

Status
Not open for further replies.
huoni profesa safari anavyowabeba kwenye kesi zenu? prof feki ni kahigi tu ambaye hajui hata kusoma hotuba ambaye naye yupo chadema

Kigezo kisiwe elimu peke yake bali utendaji mbona wao hawasemi akina Lusinde ambaowanatukana majukwaani au Prof Maji Marefu anaowachanja akina fulani kwenye masbuli yao???
 
Hapo naona wawili ni proffessional disko jokers
 
sisi wapiga kura hatuna hata hizi cv, kwahiyo hilo halituhusu! Ndio maana hata prof. Maji marefu ni mbunge wa ccm!
 
Mh. Lema kwenye hii list ndiyo kaongoza kwa kuwa kituko. Yani huyu jamaa ni "kilaza" full.
 
JamiiForums siku hizi imeingiliwa!!
Hawa joiners wa mwaka huu wote inabidi wapewe orientation kidogo. Wawe wanasearch kwanza mada kama ilishawahi kujadiliwa hapa kabla ya kuja nayo tena. Hizi CV za hawa watu tumeshaziscuss kwa zaid ya miaka 3. Kila mtu anafahamu hawana shule na sidhani kama kuna jipya tena . Mods, muwe mnafanya kazi yenu ya kuziunganisha bana!!
 
Hata wangekuwa hawajaenda chekechea kwa uwezo waliopewa na mungu wakuwazidi kina
Dr JK
Profesor Mgimwa
Na mavilaza wengine wenu sisi tunawaamini wewe hangaika huku wakati wao wanatokomeza ccm kila kona
Go cdm gooooooo
 
uongozi bila ya elimu inayotambulika ni sawa kutwanga maji kwenye kinu. huwezi kuwa na ndoto za kwenda ikulu wakati hata elimu huna

hebu tuelezane ukweli,hivi kipindi nyerere anachukua nchi tanganyika/tanzania ilikuwa na wasoma wangapi?
 
hiii nchi tumekuwa wajinga sana kila tuamkapo ni chadema na ccm tuu, mkuu pitia na majukwaa mengine upate maujanja ya kusaka mihela si kushikilia siasa tuu kwako imegoma
 
Sihataji kujua CV zao,ninachoangalia ni wazalendo kwa nchi Yao!PHD ya Kikwete imekusaidia nini?Zaidi ya kuwalinda wauza madawa ya kulevya,waua tembo,mafisadi na wezi wa twiga wetu!!!!Elimu kitu gani kwani kama hao waliyonayo ndo wezi?UZALENDO KWANZA,ELIMU BAADAE!!!
 
JamiiForums siku hizi imeingiliwa!!
Hawa joiners wa mwaka huu wote inabidi wapewe orientation kidogo. Wawe wanasearch kwanza mada kama ilishawahi kujadiliwa hapa kabla ya kuja nayo tena. Hizi CV za hawa watu tumeshaziscuss kwa zaid ya miaka 3. Kila mtu anafahamu hawana shule na sidhani kama kuna jipya tena . Mods, muwe mnafanya kazi yenu ya kuziunganisha bana!!
Rejao ina maana unataka kutuambia kuwa hufahamu kuwa hawa wanaccm wenzako wanafanya hivi kutekeleza majukumu ya lumumba project? au unataka kuwakana buku saba fc?
 
Last edited by a moderator:
Mwingereza ambae alikuwa anaitawala Tanganyika pamoja na usomi wake aliweza kung'olewa na watanganyika kwa kuongozwa na viongozi ambao wengi wao walikuwa na elimu ya kawaida tu.
 
Mimi narudia tena....mimi nina cv kubwa sana....lakini kijamii hao wote wananishinda kwenye kuisadia jamii na taifa kwa ujumla....siwafikii hata robo...so kuwa na cv nzuri bila kuwa na tangible product ya hiyo cv ni ugonjwa unaotumaliza watu wengi akiwepo muanzisha mada....ndo maana unamkuta mtu mwenye PHD ya uchumi kama waziri wa fedha anasema ameanzisha kodi kwa sababu CHENGE na WABUNGE walipitisha...ndo sababu yake kubwa.....!!! ila vijana wa CCM mnaonekana mnaulewa mdogo kwenye kufikiria mambo sijui kwa nini...? Namna hii kwa taifa lenye vijana dizaini yenu tutakuwa maskini milele....mwache uvivu msome pia vitabu na majarida mbali mbali itawasaidia...
 
Maisha hayana UjanjaUjanja. Warudi shule waache kuishi kwa kupitia michango wanayowachangisha na kuwatapeli kwenye mikutano yao.

Cv ndo nini nyie...Mimi na wewe tulio na cv kubwa tumefanyia nini hili taifa kama si kubwabwaja huku kwenye mitandao...wewe taja mambo hata matatu uliyofanya ya kusaidia hili taifa..?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom