Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
Lakini wanajituma sana kuliko hao wenye CV iliyojaa kibiriti. Tatizo ni katiba, ati inatosha alimradi anajua kusoma na kuandika!
wanajituma kwa kipi zaidi ya kutukana matusi na kuhamasisha vurugu.