Freeman Mbowe aongoza Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini

Safari ni mwendo lakini Chadema bado mna safari ndefu sana mpaka kukifikia kile chama kikubwa kuliliko vyote kwenye histori ya Tanzania.
 
Thread zako hazina wachangiaji ila kwa uzi wa Mondi ndio wamejazana huko
 
CHADEMA wana roho ya paka. Roho saba kuanzia mkiani hata upige vipi hawafi.

Walimnunua Dr.Slaa sasa hivi watu hata hawamkumbuki.
Wamenunua Covid19 bado CHADEMA wapo ngangali.

roho ya paka!
 
CHADEMA wana roho ya paka. Roho saba kuanzia mkiani hata upige vipi hawafi.

Walimnunua Dr.Slaa sasa hivi watu hata hawamkumbuki.
Wamenunua Covid19 bado CHADEMA wapo ngangali.

roho ya paka!
Ina wabunge wangapi?
 
NENDA CHATO KABURINI KAMUULIZE MWIZI WA KURA ALIIBA KURA ZA WABUNGE WANGAPI?
NA NINI KILIMPATA BAADA YA KUNAJISI UCHAGUZI?
Tendeni haki haya maisha ni mafupi sana!.
Acha kujifariji wewe!

Chato ndio kulifanya mpate mbunge mmoja?

Wabunge wanapatikna kwa mikakati siyo porojo za kugombana na diamond
 
Haya umetetea wizi wa kura. Nenda Lumumba kachukue elfu 7 yako.
Siku hizi wanapewa buku 1 ya nauli na chakula cha mchana wanapewa hapo Lumumba kwa bili kwenye daftari wanaandika jina la shaka kwa mama muuza makande ya kwenye ndoo yale ya mia nane,
Shaka anajitolea mfukoni kwake kawaambia bajeti ya buku 7 ilishafutwa october 2020 baada ya mwendazake kutumia njia nyingine korofi kushinda uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…