Freeman Mbowe akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe na Wazee wa Mwanza kama Shukrani ya Kutambua mchango wake kwa mapambano ya Demokrasia ya Tanzania

Daah, Wasukuma ndio wenye kushika umoja wa nchi hii, muwatukane nyinyi halafu wawape ng'ombe nyinyi

Kwetu Hai, kuliko wachaga wengi, lkn ukweli kabisa, Sisi wachaga, tumejitofautisha Sana na makabila mengi ya nchi hii, ni wabaguzi wa wawaziwazi kabisa, mfano mdogo kabisa, nadhani tunakubaliana na kila mtu aliyewahi kufika kwetu atakuwa amewahi kujionea haya

Mgeni akija kwetu, Akafungua Duka/biashara, nakwambia hata akiwa na bidhaa zinazohitajika Kwa eneo Hilo, mtu Yuko tayari kutembea klimoita moja kwenda Kwa mchaga mwenzake kufuata bidhaa ambayo IPO kwenye Duka la jirani yake, shida tu eti siyo wa kabila lake

Ni tofauti kabisa na makabila mengine kama Wasukuma n.k hawana huo ujinga wetu

Najaribu kujitofautisha na misimamo ya mababu zetu zilizopitwa wakati ili tuwe Taifa moja lenye tofauti ya makabila, nitaendelea kujifunza Kwa Wasukuma na kwingineko, nadhani pia, nitakuwa balozi nitakayehakikisha kabila letu linaondokana na ubaguzi huu,

Mbowe nitaendelea kumpinga popote pale, hasa kwenye kuendekeza ubaguzi wa wawazi Kwa Wasukuma na bahati nzuri Rafiki zangu hawa wasukuma wamemfanya ajishitaki moyoni, kawasema vibaya, wakamtendea mema

Sukuma hoyeee!!
sukuma gang et al.
 
Duh,huyu tapeli huyu malyenge
Inawezekana kweli ni tapeli ila jambo la msingi aache kauli za kibaguzi ajue kabisa kama anataka CHADEMA kuaminika ni muhimu sana kukifanya chama kuwa na mtazamo wa kitaifa zaidi badala ya kama alivyofanya juzi kutoa shutuma zisizo na uthibisho wala uhakika.
 
libaguzi mnoo hili jamaa saa hz limeishiwa linatqfuta hela za wanachamq wakati ruzuku wakipata wanakimbilia Dubai, Ubelgiji na Marekani yaani akina Mangungo wa kizazi hiki tumewapata
Inawezekana kweli ni tapeli ila jambo la msingi aache kauli za kibaguzi ajue kabisa kama anataka CHADEMA kuaminika ni muhimu sana kukifanya chama kuwa na mtazamo wa kitaifa zaidi badala ya kama alivyofanya juzi kutoa shutuma zisizo na uthibisho wala uhakika.
 
Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela.

Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa Mwamba katika kupigania Demokrasia nchini Tanzania.

Wazee ni Hazina.

Hakuna jinsi aliwe mchuzi na "kichuri" na nyama choma tu!
 
Hiyo ni mboga ya Mkiti awapo safarini kidigital.Mboga haijadiliwi msiwe na wivu.KUKU/NG'OMBE
Uzito uko wapi
 
Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela.

Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa Mwamba katika kupigania Demokrasia nchini Tanzania.

Wazee ni Hazina.

Leo Sukuma Gang imekuwa Sukari ¿
 
Watu bana kwa niabaa ya familia yako inahusikaje hapo.....kwa mboweee
 
Unatukana walio hai kwa ajili ya maiti, mbaya zaidi umeitukana maiti yenyewe, ndugu zake na Chama chake kwa ujumla.
Kwamba mwendazake alikuwa akishiri ushoga
Ndio uache kumtaja taja hata kwa mambo ya kijinga ili isionekane alikuwa anakufanyia hayo!

Heshima yako itabaki pale pale.
 
Nakazia tena Wazee wa Mwanza hawawezi kuishi Igombe. Huko ni wavuvi tu. Kama huyo ng'ombe angekabidhiwa maeneo kama Nera, Kirumba,Nyamanoro, Nyakato, Nyegezi n.k. hapo nisingetia neno. Lakini Igombe nasema big No.
Kwa Wavuvi hakuna WAZEE?

Au kwako wewe wazee ni wa Dar es salaam tu?
 
Back
Top Bottom