Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,710
- 93,435
Kanda ya ziwa na kaskazini zimerudi rasmi CHADEMA.
wasukuma hao hao uwatukane hao hao uwatake kura kwa sqbabu kumtukana Magufuli ni kuwatukana wasukuma wote mbona huyu Mr zero na tapeli la kisiasa anatuona ss mafara sqna kwamba Usukumani ndio sehemu ya kufanyia maigizoZawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela .
Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa Zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni ishara ya kutambua Mchango wa Mwamba katika kupigania Demokrasia nchini Tanzania .
Wazee ni Hazina .
View attachment 1807515
Mwamba anazidi kuchanja mbuga. Amsha amsha hii ni kibokoZawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela .
Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa Zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni ishara ya kutambua Mchango wa Mwamba katika kupigania Demokrasia nchini Tanzania .
Wazee ni Hazina .
View attachment 1807515
Wanaotukanwa ni Sukuma Gang.....Kuna sukuma gang na Sukuma Tribe.wasukuma hao hao uwatukane hao hao uwatake kura kwa sqbabu kumtukana Magufuli ni kuwatukana wasukuma wote mbona huyu Mr zero na tapeli la kisiasa anatuona ss mafara sqna kwamba Usukumani ndio sehemu ya kufanyia maigizo
nyie tumewasubiria kwa hamu ss huwa hatuna utani kabisa matendo yetu yana kishindo kikuuWanaotukanwa ni Sukuma Gang.....Kuna sukuma gang na Sukuma Tribe.
Dada acha kudanganya umma na propaganda zenu. Igombe hakuna wafugaji wa ng'ombe bali wavuvi tu. Huyo ni ng'ombe wakununuliwa na watu wake hapa Mwanza ukibisha namtaja jina na ng'ombe huyo wamazingaombwe alikonunuliwa. Wakadanganye Kyela na Tukuyu dada! Eti wazee wa Mwanza!!Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela.
Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa Mwamba katika kupigania Demokrasia nchini Tanzania.
Wazee ni Hazina.
Mwendazake alikuwa mkabila sana,alitaka kutupereka kwenye siasa za kikabila za Kenya,ambapo Mkikuyu kumpigia kura Mkalenjin,au mluo Ni Swala linaloshangaza na ni jipya sana kwenye macho ya Wakenya wengi,Angekuwepo Mwendazake angewalazimisha wazee hao wamkabidhi yeye na sio mpinzani.
Siasa za uongo na kiki,unamtafuta ng'ombe mwenyewe na unaandaa wazee ili wakukabidhiZawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela.
Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa Mwamba katika kupigania Demokrasia nchini Tanzania.
Wazee ni Hazina.
Na wasingethubutu kufanya hivyo,la sivyo kesi ya uhujumu uchumi ingewahusuAngekuwepo Mwendazake angewalazimisha wazee hao wamkabidhi yeye na sio mpinzani.
Wewe unataka wabarikiwe kwa kubambikia watu kesi ?Kwa lipi, Kwa porojo?
Sijawahi kuona wagombea wa uenyekiti taifa CCM mgombea anakuwa mmoja tu,je hiyo ndiyo democracy?Demokrasi IPI?Mbona Mbowe na mwenyekiti wa kudumu wa chadema?Wenye kuelewa demokrasi nyingine zaidi tunayoijua.
umewai fika igombe?Mhhh, wazee wa Mwanza waishi Igombe? Kiki tu huko kuna wavuvi tu tusidanganye.
Sidhani kama unajua ulichoandika!Mhhh, wazee wa Mwanza waishi Igombe? Kiki tu huko kuna wavuvi tu tusidanganye.
Daah, Wasukuma ndio wenye kushika umoja wa nchi hii, muwatukane nyinyi halafu wawape ng'ombe nyinyiWanaotukanwa ni Sukuma Gang.....Kuna sukuma gang na Sukuma Tribe.