Freeman Mbowe akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe na Wazee wa Mwanza kama Shukrani ya Kutambua mchango wake kwa mapambano ya Demokrasia ya Tanzania

Nakazia tena Wazee wa Mwanza hawawezi kuishi Igombe. Huko ni wavuvi tu. Kama huyo ng'ombe angekabidhiwa maeneo kama Nera, Kirumba,Nyamanoro, Nyakato, Nyegezi n.k. hapo nisingetia neno. Lakini Igombe nasema big No.
Basi tuseme haya
 
Division zero haimwachi mtu salama
wasukuma hao hao uwatukane hao hao uwatake kura kwa sqbabu kumtukana Magufuli ni kuwatukana wasukuma wote mbona huyu Mr zero na tapeli la kisiasa anatuona ss mafara sqna kwamba Usukumani ndio sehemu ya kufanyia maigizo
 
Hapo sasa. Wazee wa Mwanza ???? Huyu analeta mchezo eti
Dada acha kudanganya umma na propaganda zenu. Igombe hakuna wafugaji wa ng'ombe bali wavuvi tu. Huyo ni ng'ombe wakununuliwa na watu wake hapa Mwanza ukibisha namtaja jina na ng'ombe huyo wamazingaombwe alikonunuliwa. Wakadanganye Kyela na Tukuyu dada! Eti wazee wa Mwanza!!
 
Huyu mpuuzi Sana ana dharau Sana anawatukana wasukuma halafu anawatangulizia vipande thelathini

Wasukuma tuelewe huyu jamaa anatuchota tusikubali ujinga huu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Msukuma mjinga ni wewe na wenzako wachache mnaotanguliza usukuma wenu mbele kama ngao badala ya kuheshimu uTanzania wenu.

Wewe huwezi kuwa mwakilishi na msemaji wa wasukuma.
 
Back
Top Bottom