mabadiliko gani dunia hii mkuu?...yote maisha,maisha yataendelea kuwa kama yalivyo.mbowe kaona oppotunity ya kukamata madaraka anaitumia vyema.
anaweza kufanikiwa ama hata akifail atavuna wabunge wa kutosha kwenda sawa na chama tawala.
huwezi kukamata madaraka kwa kutoa vitisho vya kisasi,kwani waliopo madarakani watafanya juu chini usiyapate madaraka.
mbowe kusema chama chao si cha kisasi ana maana yake,kwani chadema wamo mahardliner wenye siasa za kihasama....
Yuko vizuri na akiongea kweli anapata attentions ya watu hata bungeni alikua akiongea kunatia na usikivu juu. He is real blessed honestly,ka Nyerere vile ndo kiongozi anavotakiwa.
Mmh mkuu let us wait and see aisee, eti mi nahisi ndo watapungua sasa wabunge wa upinzani
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto wa mjini' kikweli kweli na watu wanao jaribu kum underestimate wengi huishia kulia.. huyu ni true hustler.
Kutoka kumiliki Billicanas Club na kufanya tu starehe na kuoana 'opportunities' za kila aina kwenye siasa za TZ na ku risk yote ambayo ame risks si jambo dogo.
Watu hupenda kufatilia historia za Marais au watu wanaofanikiwa kuchaguliwa ila ukitazama siasa za TZ Mbowe siku zote 'anacheza kama pele' Ndo maana ndani ya CHADEMA mbowe ana marafiki nje ya CHADEMA wa kila aina wengine hawawezi kukaa pamoja lakini yeye wote 'washkaji zake' there is something about him ambacho Slaa hana,Tundu Lissu hana, Zitto hana na wengi tu wengine Ukisikia 'mtoto wa mjini' ndo watu kama Mbowe.
Unaweza Kwenda Shule Ukajikuta Muda Mwingi Unajifunza Kusoma Wakati Wenzio Wao Wanasoma Kujifunza.
Hamna hata moja la maana la kumsifia, unamsifia kwa mambo yanayoharibu jamii na maadili ya Kitanzania?
Amma hakika leo hii Tanzania mtu unamsifia uharibifu? kweli hili ni Taifa lililokosa misingi ya uadilifu.
Hamna hata moja la maana la kumsifia, unamsifia kwa mambo yanayoharibu jamii na maadili ya Kitanzania?
Amma hakika leo hii Tanzania mtu unamsifia uharibifu? kweli hili ni Taifa lililokosa misingi ya uadilifu.
Kweli mtoto wa mjini.kavuta ten bilion fasta.kamata fursa twenzetu.sasa hivi anawashawishi watu kumuunga mkono Lowassa. Mbowe big up kweli ww mtoto wa town.