Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

You can imagine jinsi tulivyo gizani.

Eti kiongozi wa chama anasifiwa kwa kuwa mtoto wa mjini.

Yaani chama kinachopambana kutaka kushika dola.

Tafsiri ya kuwa mtoto wa mjini ni uhuni...

Sasa kama kiongozi wa chama anatambulika na kusifiwa kwa uhuni hilo ni tatizo tena kubwa tu.
 
Ndio Siasa

alikula Mtonyo wa kumchafua Lowassa, akala mtonyo wa kumpa nafasi ya kuwa Mgombea Urais na sasa kala Mtonyo wa maridhiano

Mtoto wa Mjini ni sifa muhimu sana kwny Siasa, Jk leo hii ni Rais mstaafu kwa sababu alikuwa Mtoto wa Mjini sio kuwa alikuwa na degree ya Udsm

kasome historia ya kina Zuma, Ruto n.k uone uhuni uhuni ulivyowasaidia

Hata Nyerere uhuni uhuni ulimsaidia sana

alikuwa Mkatoliki mzuri lakini pia Mkomunist mzuri

alisaidia sana Siasa za Urusi na China lakini pia alikuwa muasisi wa Siasa zisizofungamana na upande wowote (NAM)

alikuwa anapambana sana na Mabeberu waingereza lakini maisha yake yote ya kisiasa Katibu wake muktasi alikuwa Dada wa Kiingereza kutoka shirika nyeti la Nchi hiyo hadi baada ya kustaafu aliendelea kuwa nae kwny South south commission ~Yule Bibi kabla hajafa katunga kitabu cha maisha ya Nyerere lakini kaweka wosia wa kisheria kitoke 30 years baada ya kufa kwake huyo bibi bila shaka akijua kitakuwa Hatare sana kwa untold story
 
Hiyo sio siasa huo ni uhuni.

Huwezi fananisha huo uhuni na siasa za kikanuni kama za kina Che guevara.

Fidel.

Watu wanatambulika na kuheshimika kwa kutengeneza principles na kuzisimamia to the last breath sio huo uhuni unaosimulia hapa wa kuchukua pesa na kusaliti watu.

I thought you are a man of principles kumbe upo kwenye magenge ya watafuna nchi.
 
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto wa mjini' kikweli kweli na watu wanao jaribu kum underestimate wengi huishia kulia.. huyu ni true hustler.

Kutoka kumiliki Billicanas Club na kufanya tu starehe na kuoana 'opportunities' za kila aina kwenye siasa za TZ na ku risk yote ambayo ame risks si jambo dogo.

Watu hupenda kufatilia historia za Marais au watu wanaofanikiwa kuchaguliwa ila ukitazama siasa za TZ Mbowe siku zote 'anacheza kama pele' Ndo maana ndani ya CHADEMA mbowe ana marafiki nje ya CHADEMA wa kila aina wengine hawawezi kukaa pamoja lakini yeye wote 'washkaji zake' there is something about him ambacho Slaa hana,Tundu Lissu hana, Zitto hana na wengi tu wengine Ukisikia 'mtoto wa mjini' ndo watu kama Mbowe.

Pasco Nyani Ngabu ..

Alianza biashara akiwa kijana mdogo, alikuwa hard work na alipata mafanikio makubwa sana kwenye biashara zake, amekula good time sana, toto’s hadi wife first class.
 
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto wa mjini' kikweli kweli na watu wanao jaribu kum underestimate wengi huishia kulia.. huyu ni true hustler.

Kutoka kumiliki Billicanas Club na kufanya tu starehe na kuoana 'opportunities' za kila aina kwenye siasa za TZ na ku risk yote ambayo ame risks si jambo dogo.

Watu hupenda kufatilia historia za Marais au watu wanaofanikiwa kuchaguliwa ila ukitazama siasa za TZ Mbowe siku zote 'anacheza kama pele' Ndo maana ndani ya CHADEMA mbowe ana marafiki nje ya CHADEMA wa kila aina wengine hawawezi kukaa pamoja lakini yeye wote 'washkaji zake' there is something about him ambacho Slaa hana,Tundu Lissu hana, Zitto hana na wengi tu wengine Ukisikia 'mtoto wa mjini' ndo watu kama Mbowe.

Pasco Nyani Ngabu ..
Mbowe ni tapeli wa siku nyingi
 
Back
Top Bottom