Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

unafikiri wachaga wamekuja mjini kushangaa magorofa????:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Uzuri humu tunajuwana vyema tu, kwakuwa hata mimi ni mzaliwa wa mzizima nimemwelewa The Boss ndio maana mshamba kama Zitto aliyekuja mjini na mbio za Mwenge hakujuwa kwamba sumu haijaribiwi kwa kuionja.

Kuna wanaodhani degree zao ndio kila kitu kumbe sivyo hata form four graduate ana uwezo wa kufanya makubwa na akaongoza maprofesa.

Freemam Mbowe alianza Chadema akiwa mbeba mikoba na facilitator wa meeting za wazee wakati wapo kwenye vikao vya siri Masaki kwa Mzee Kimesera chama kikaanzishwa akapitia stage kadhaa ukatibu mkuu then mwenyekiti wa chama, lakini kuna mshamba mmoja tu from no where akadhani anaweza kumpinduwa mtu kama huyu? Na kali zaidi amemsubiri Lowasa kule alipo kwa mbwembwe kibao lakini dakika za mwisho mtoto waa mjini anafunga goli la kisigino.

Naaam Mbowe ni mtoto wa mjini haswaaaa.

mkuu unafahamu neno 'aibu' read it a.i.b.u slaa na Lissu wazima??
 
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto wa mjini' kikweli kweli na watu wanao jaribu kum underestimate wengi huishia kulia.. huyu ni true hustler.

Kutoka kumiliki Billicanas Club na kufanya tu starehe na kuoana 'opportunities' za kila aina kwenye siasa za TZ na ku risk yote ambayo ame risks si jambo dogo.

Watu hupenda kufatilia historia za Marais au watu wanaofanikiwa kuchaguliwa ila ukitazama siasa za TZ Mbowe siku zote 'anacheza kama pele' Ndo maana ndani ya CHADEMA mbowe ana marafiki nje ya CHADEMA wa kila aina wengine hawawezi kukaa pamoja lakini yeye wote 'washkaji zake' there is something about him ambacho Slaa hana,Tundu Lissu hana, Zitto hana na wengi tu wengine Ukisikia 'mtoto wa mjini' ndo watu kama Mbowe.

Pasco Nyani Ngabu ..

Naomba nirudi baada ya Oktoba kukubali au kupinga ulichosema hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
The Boss .. Kiongozi Huzaliwa Mkuu ... Manager Hutengenezwa... Mbowe ni Natural born leader ...
 
Na shauri lake Ahithofeli, alilokuwa akilitoa siku zile, lilikuwa kama mtu aulizapo kwa neno la Mungu; ndivyo yalivyokuwa mashauri yote ya Ahithofeli, kwa Mfalme Daudi-2Sam 16:23. Mbowe ni Ahithofeli wa CHADEMA/UKAWA.
 
Mshamba ni mshamba tu na mambo yake atayapeleka kishamba....., kuzaa na shemeji ni dhambi na aibu tupu lakini mshamba anachukulia poa.
 
Naunga mkono hoja, nampa credit kwa uwezo wake wa kuona oportunities za kisiasa na kuzitumia muda huo huo.. Alianza kwa kuona vipaji vya kisasa vilivyokuwemo ndani ya kina Zitto, Halima Mdee, John Mnyika, Ben Saanane na wengine wengi wakiwa bado vyuo kikuu anaanza kufanya nao kazi huku yeye akiwa Kiongozi Bavicha.

Vijana hawa kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa building capacity na Mh. Mbowe hadi hapo walipo...kwa hiyo mafanikio ya kundi hili la vijana huwezi kutenganisha na Mh Mbowe.

Mh Mbowe ana vitu ambavyo wanasiasa wengi hawana..ni kweli kabisa na ndiyo maana kaifikisha CDM hapo ilipo pamoja na kuwa inapopolewa mawe kila uchao.

Naunga mkono hoja, Mbowe has talent!! Kijana wa mjini...
 
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto wa mjini' kikweli kweli na watu wanao jaribu kum underestimate wengi huishia kulia.. huyu ni true hustler.

Kutoka kumiliki Billicanas Club na kufanya tu starehe na kuoana 'opportunities' za kila aina kwenye siasa za TZ na ku risk yote ambayo ame risks si jambo dogo.

Watu hupenda kufatilia historia za Marais au watu wanaofanikiwa kuchaguliwa ila ukitazama siasa za TZ Mbowe siku zote 'anacheza kama pele' Ndo maana ndani ya CHADEMA mbowe ana marafiki nje ya CHADEMA wa kila aina wengine hawawezi kukaa pamoja lakini yeye wote 'washkaji zake' there is something about him ambacho Slaa hana,Tundu Lissu hana, Zitto hana na wengi tu wengine Ukisikia 'mtoto wa mjini' ndo watu kama Mbowe.

Pasco Nyani Ngabu ..
Ni kweli ...ila Mhe. Mbowe anaharibiwa na wanaharakati wanaomzunguka
 
Mshamba ni mshamba tu na mambo yake atayapeleka kishamba....., kuzaa na shemeji ni dhambi na aibu tupu lakini mshamba anachukulia poa.
Je dj zero kuzaa na MUKYAA(mbunge wa viti maalumu CDM) ndio mjanja?
 
Namuona akikataa uzee kwakupaka lip shiner na easy black.
 
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto wa mjini' kikweli kweli na watu wanao jaribu kum underestimate wengi huishia kulia.. huyu ni true hustler.

Kutoka kumiliki Billicanas Club na kufanya tu starehe na kuoana 'opportunities' za kila aina kwenye siasa za TZ na ku risk yote ambayo ame risks si jambo dogo.

Watu hupenda kufatilia historia za Marais au watu wanaofanikiwa kuchaguliwa ila ukitazama siasa za TZ Mbowe siku zote 'anacheza kama pele' Ndo maana ndani ya CHADEMA mbowe ana marafiki nje ya CHADEMA wa kila aina wengine hawawezi kukaa pamoja lakini yeye wote 'washkaji zake' there is something about him ambacho Slaa hana,Tundu Lissu hana, Zitto hana na wengi tu wengine Ukisikia 'mtoto wa mjini' ndo watu kama Mbowe.

Pasco Nyani Ngabu ..
#MWAMBA TUVUSHE
 
Back
Top Bottom