OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Jyce Mukya ndo amemtengeneza
Alichokuwa anafanya jana Mbowe ni kuondoa wazo kuwa CHADEMA ni extremist
Ukiwa extremist huwezi kupewa dola
Lazima uoneshe unaweza kuwa na Compromise
Nadhani Mbowe amejifunza kuwa kama Chama kingejipambanua kwa siasa safi za kutochafua watu....leo hii asingekuwa anaambiwa kuhusu kulamba matapishi
Jyce Mukya ndo amemtengeneza
Nadhani JK ni mtoto wa mjini zaidi tena sio miji ya upcountry bali ya Pwani. Tumeona anavyoweza kubadili upepo fasta; chuki ikageuka furaha na nderemo. Msishangae EL akaitwa Ikulu na picha lote likageuka chenga, chezeni na jamaa.
It could be the other way round, may be he got the offer he could not refuse!
cc Deo Corleone! The Boss, Pasco et al
Hapana.....Sio kweli....This is Politics..CHADEMA is transforming to a state Party
Usiseme hapana mkuu, politics is business!
You think it is just plain and simple like that? Never!
Tatizo you think in terms of money..I dont think in terms of money
If politics was a just simple business like that.Mbowe would have sold CHADEMA very long time ago...For a substantial amount of money
Yeah ni kweli tena alipatikana kipindi kile Nyerere amepewa hifadhi kwenye harakati za Uhuru.Hujawahi kuisikia hii "Mbowe ni mtoto wa nje wa Kambarage"
Na ukisha weza kuishi na watu kwa akili na kusoma alama za Nyakati Ku influence mass unakua zaidi ya msomi yoyote plasi hekima.Elimu kubwa kuliko zote duniani ni elimu ya kujua jinsi ya kuishi na watu vizuri na kucheza na akili zao.Mbowe amefudhu katika hilo.
Nimemsoma sana Robert Greene. Ameandika kitabu kinaitwa 33 STRATEGIES OF WAR. Law #2 inasema: LEARN HOW TO USE YOUR ENEMIES. Aya moja ya sura hiyo inasomeka hivi: "...Hire a former enemy and he will be more loyal than a friend, because he has more to prove..." Kwanini mwandishi huyo anasema hayo? Kwa sababu, anaeleza, "...you have more to fear from friends than from enemies. If you have no enemies, find a way to make them." Namwamwini sana mwandishi huyo kutokana na utafiti wa MASHIKO aalioufanya. Kwa hiyo naona, kwa kutambua au bila kutambua, CHADEMA wametumia RULES #2