Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

Alipewa hifadhi wapi?

Nyerere alikuwa akienda Kilimanjaro alikuwa analala nyumbani kwa Mzee Aikael Mbowe na yule mzee alikuwa na mke zaidi ya mmoja, sasa yasemekana alikuwa anamkirimu mgeni wake kulala na mmoja wa wakeze na ndio uzao wa Brother Mbowe.

Sina ushahidi na hilo ila lisemwalo lipo maana Freeman Mbowe ana akili kubwa ni lazima amerithi sehemu.
 
kumbe nayo hii ni sifa? ni sawa na kusema mimi naweza kula ice cream kweli kweli, mtaa mzima hakuna anayenizidi..sifa za kijinga..
 
Nyerere alikuwa akienda Kilimanjaro alikuwa analala nyumbani kwa Mzee Aikael Mbowe na yule mzee alikuwa na mke zaidi ya mmoja, sasa yasemekana alikuwa anamkirimu mgeni wake kulala na mmoja wa wakeze na ndio uzao wa Brother Mbowe.

Sina ushahidi na hilo ila lisemwalo lipo maana Freeman Mbowe ana akili kubwa ni lazima amerithi sehemu.

mwenye mbegu za akili alikuwa Nyerere tu?? mbona mitoto yake hii mingi mizuzu tu

Boss kasema ' mtoto wa mjini' in maana kubwa hii
 
Mbowe ni genius, na ukiangalia mafanikio yake katika Biashara na namna alivyoipandisha Chadema tokea awe mwenyekiti utagundua hilo.
 
mwenye mbegu za akili alikuwa Nyerere tu?? mbona mitoto yake hii mingi mizuzu tu

Boss kasema ' mtoto wa mjini' in maana kubwa hii

Uzuri humu tunajuwana vyema tu, kwakuwa hata mimi ni mzaliwa wa mzizima nimemwelewa The Boss ndio maana mshamba kama Zitto aliyekuja mjini na mbio za Mwenge hakujuwa kwamba sumu haijaribiwi kwa kuionja.

Kuna wanaodhani degree zao ndio kila kitu kumbe sivyo hata form four graduate ana uwezo wa kufanya makubwa na akaongoza maprofesa.

Freemam Mbowe alianza Chadema akiwa mbeba mikoba na facilitator wa meeting za wazee wakati wapo kwenye vikao vya siri Masaki kwa Mzee Kimesera chama kikaanzishwa akapitia stage kadhaa ukatibu mkuu then mwenyekiti wa chama, lakini kuna mshamba mmoja tu from no where akadhani anaweza kumpinduwa mtu kama huyu? Na kali zaidi amemsubiri Lowasa kule alipo kwa mbwembwe kibao lakini dakika za mwisho mtoto waa mjini anafunga goli la kisigino.

Naaam Mbowe ni mtoto wa mjini haswaaaa.
 
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto wa mjini' kikweli kweli na watu wanao jaribu kum underestimate wengi huishia kulia.. huyu ni true hustler.

Kutoka kumiliki Billicanas Club na kufanya tu starehe na kuoana 'opportunities' za kila aina kwenye siasa za TZ na ku risk yote ambayo ame risks si jambo dogo.

Watu hupenda kufatilia historia za Marais au watu wanaofanikiwa kuchaguliwa ila ukitazama siasa za TZ Mbowe siku zote 'anacheza kama pele' Ndo maana ndani ya CHADEMA mbowe ana marafiki nje ya CHADEMA wa kila aina wengine hawawezi kukaa pamoja lakini yeye wote 'washkaji zake' there is something about him ambacho Slaa hana,Tundu Lissu hana, Zitto hana na wengi tu wengine Ukisikia 'mtoto wa mjini' ndo watu kama Mbowe.

Pasco Nyani Ngabu ..

Kila mtu ana kipaji chake si lazima kila mtu awe na kila kipaji cha mtu mwingine.
 
Hawezi kupungua wamejipanga sana. Huoni wanavyocheza rafu hao CCM ni kupigana tuu yaani wapigwe tuu...ZZK najua kinamuuma kutokuwepo UKAWA ila nina imani kitaeleweka tuu

Mkuu mbona sikuelewi hapo kwa red
 
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto wa mjini' kikweli kweli na watu wanao jaribu kum underestimate wengi huishia kulia.. huyu ni true hustler.

Kutoka kumiliki Billicanas Club na kufanya tu starehe na kuoana 'opportunities' za kila aina kwenye siasa za TZ na ku risk yote ambayo ame risks si jambo dogo.

Watu hupenda kufatilia historia za Marais au watu wanaofanikiwa kuchaguliwa ila ukitazama siasa za TZ Mbowe siku zote 'anacheza kama pele' Ndo maana ndani ya CHADEMA mbowe ana marafiki nje ya CHADEMA wa kila aina wengine hawawezi kukaa pamoja lakini yeye wote 'washkaji zake' there is something about him ambacho Slaa hana,Tundu Lissu hana, Zitto hana na wengi tu wengine Ukisikia 'mtoto wa mjini' ndo watu kama Mbowe.

Pasco Nyani Ngabu ..

Zitto a.k.a mungu wenu ACT anakujaje hapo ?
 
Last edited by a moderator:
Mbowe hao wasomi wote kina Baregu,Safari Slaa Tundu Lissu wote yeye ndie boss wao
yeye ndo Tajiri wa chama na anachokifanya hakuna wa kukipinga
Zitto alijaribu but kashindwa.....tofauti ya Mbowe na hao wote ni kuwa Mbowe ni 'mtoto wa mjini'

Umeandika ki Majungu sana
 
Tatizo you think in terms of money..I dont think in terms of money

If politics was a just simple business like that.Mbowe would have sold CHADEMA very long time ago...For a substantial amount of money

Mkuu ndio ushauzwa sasa ....
 
....i concur....sasa inabidi wale kina zitto na act yao wabadilike na wafikiri kujiunga UKAWA...bila hivyo upepo wa lowasa UKAWA utawapotezea kabisa act...

....Mbowe ni smart sana kama mwanasiasa...na anaona mbele sana...pia Mbowe(kwa wasiomjua) ni mtu anaewashirikisha sana watu makini kabla ya kufanya maamuzi magumu..Mbowe haamui mambo kama Mbowe bali anawashirikisha watu makini waliomzunguka..ndio maana anafanikiwa.....
 
Back
Top Bottom