Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

Mbow anaonekana hana matatizo kwa sababu hamaanishi anachokisema, yeye ni opportunist, ilimradi maslahi yake yamezingatiwa it's ok with him. Mimi simuoni kama mwanasiasa mpenda mabadiliko kama hao kina slaa, lisu, mnyika, bali namuona kama mfanyabiashara wa siasa

mabadiliko gani dunia hii mkuu?...yote maisha,maisha yataendelea kuwa kama yalivyo.mbowe kaona oppotunity ya kukamata madaraka anaitumia vyema.
anaweza kufanikiwa ama hata akifail atavuna wabunge wa kutosha kwenda sawa na chama tawala.

huwezi kukamata madaraka kwa kutoa vitisho vya kisasi,kwani waliopo madarakani watafanya juu chini usiyapate madaraka.

mbowe kusema chama chao si cha kisasi ana maana yake,kwani chadema wamo mahardliner wenye siasa za kihasama....
 
Ukimsikiliza mara moja tu anaweza kukushawishi,siasa imekuwa ni kipaji chake,shikamoo uncle Mbowe
 
Ni sawa kabisa.Ila naamini siasa ni kama kazi yeyote ile. Its about making money using an umbrella of serving the society.
This is what everyone is doing. Some are very smart like him.
SHIKAMOO KAKA MBOWE.
keep it up
Wengine ndo hivyo kuendeleA huku jukwaani kukoment,Kugombana etc
 
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri
kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa

Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana
ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto wa mjini'
kikweli kweli na watu wanao jaribu kum underestimate wengi huishia kulia..
huyu ni true hustler....kutoka kumiliki Billicanas Club na kufanya tu starehe
na kuoana 'opportunities' za kila aina kwenye siasa za TZ na ku risk yote ambayo ame risks
si jambo dogo....watu hupenda kufatilia historia za Marais au watu wanaofanikiwa kuchaguliwa

ila ukitazama siasa za TZ Mbowe siku zote 'anacheza kama pele'

Ndo maana ndani ya CHADEMA mbowe ana marafiki nje ya CHADEMA wa kila aina
wengine hawawezi kukaa pamoja lakini yeye wote 'washkaji zake'
there is something about him ambacho Slaa hana,Tundu Lissu hana, Zitto hana na wengi tu wengine

Ukisikia 'mtoto wa mjini' ndo watu kama Mbowe....
Pasco Nyani Ngabu ..

Mkuu naikumbuka kauli yako aliyoiponda Tumaini Makene, ila leo amejificha.
 
Last edited by a moderator:
mabadiliko gani dunia hii mkuu?...yote maisha,maisha yataendelea kuwa kama yalivyo.mbowe kaona oppotunity ya kukamata madaraka anaitumia vyema.
anaweza kufanikiwa ama hata akifail atavuna wabunge wa kutosha kwenda sawa na chama tawala.

huwezi kukamata madaraka kwa kutoa vitisho vya kisasi,kwani waliopo madarakani watafanya juu chini usiyapate madaraka.

mbowe kusema chama chao si cha kisasi ana maana yake,kwani chadema wamo mahardliner wenye siasa za kihasama....

Mmh mkuu let us wait and see aisee, eti mi nahisi ndo watapungua sasa wabunge wa upinzani
 
Hivi hujagundua Mbowe akiongea watu wanacheka na kutabasam?
hafoki foki kama Dr Slaa au Lissu?
ana mix na yeyote yule....ukisikia watoto wa mjini basi ujue ndo watu kama Mbowe
ije mvua au jua yeye atakuwa OK tu na kutabasam

kweli mkuu Mbowe hapayuki wala hatumii nguvu nyingiii
 
Back
Top Bottom