Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

Kweli mtoto wa mjini.kavuta ten bilion fasta.kamata fursa twenzetu.sasa hivi anawashawishi watu kumuunga mkono Lowassa. Mbowe big up kweli ww mtoto wa town.
 
Dah...ila Mbowe...nafikiri ni robot lililochongwa na TISS....sometimes hainiingii akili kabisa jinsi siasa alivyozipindua since 2005....

Hivi hujagundua Mbowe akiongea watu wanacheka na kutabasam?
hafoki foki kama Dr Slaa au Lissu?
ana mix na yeyote yule....ukisikia watoto wa mjini basi ujue ndo watu kama Mbowe
ije mvua au jua yeye atakuwa OK tu na kutabasam
 
Kwa Dr Slaa siyo kweli na umemsingizia.

Nina uhakika akiwa Padre na hasa akiwa ROME, alikutana sana na Watenda dhambi kama Italian Mafia na kukaa nao.

Kama Mtawa, ilibidi akae nao na kuwasikiliza na huo ndiyo kweli upande wa pili.

Namhurumia sana huyu jamaa hapa kwenye Video...

 
Last edited by a moderator:
Ndio maana Ccm hawalali wakisikia jina la mbowe
 
mbowe hana matatizo sana,
slaa,lema,msigwa watu wa siasa za kihasama...
 
mbowe hana matatizo sana,
slaa,lema,msigwa watu wa siasa za kihasama...

Mbow anaonekana hana matatizo kwa sababu hamaanishi anachokisema, yeye ni opportunist, ilimradi maslahi yake yamezingatiwa it's ok with him. Mimi simuoni kama mwanasiasa mpenda mabadiliko kama hao kina slaa, lisu, mnyika, bali namuona kama mfanyabiashara wa siasa
 
Back
Top Bottom