FREE MIN MEE

FREE MIN MEE

Bwashee kwamba naweza anzisha mada nikaogopa kurudi?😅😅😅
Pombe zina mambo yake.

na kila pombe ina mavibe yake.
Kuna siku nilikunywa Makonyagi.
Nikagombana na watu. Tumerushiana maneno sana. Karibia tudundane kwa mahasira.

Kesho yake kuja kuuliza kisa na mkasa. Nikaambiwa. Na nikaona ni kitu kidogo sana. Ukiwa sober hakiwezi kukupandisha kisukari.
 
🤣 bwashee mimi ni mkorofi mno nikiwa sina pombe kichwani , ila ukinikuta na vitu vyangu labda wewe utake ugomvi tu
 
Tuko tofauti.

Mm Konyagi inanipandisha kisukari kiwepesi sana. Alafu natamani kuvesha had muda mibovu, + ina nisisimua misuli kwahiyo akili zinaweza nituma kutafuta kiharufu cha samaki sehemu.

Nimeiacha kwa kweli.
 
Pombe zina mambo yake.

na kila pombe ina mavibe yake.
Kuna siku nilikunywa Makonyagi.
Nikagombana na watu. Tumerushiana maneno sana. Karibia tudundane kwa mahasira.

Kesho yake kuja kuuliza kisa na mkasa. Nikaambiwa. Na nikaona ni kitu kidogo sana. Ukiwa sober hakiwezi kukupandisha kisukari.
Kunywa JD huko, hizi gongo hata mimi zilinishinda unaweza piga mtu na bapa😂
 
Back
Top Bottom