Kime-happen kwa jirani na sijutii kabisa

Kime-happen kwa jirani na sijutii kabisa

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
13,924
Reaction score
26,986
Ndugu zangu..

Yule jirani amefanikiwa kuliwa, na alikuwa ana taka sana kumbe...!

Asubuhi ya leo niliamshwa na ngo ngo ngo....mlangoni mwa mchumba changu.

Binafsi nilidhani ni jamaa wa taka, kufika mlangoni alikuwa yule jirani niliye wasimulia jana.

Anasema simu yake imegoma ku unlock, kumbe analake jambo... Wakulungwa kaja vile vile na kanga moko.

Sasa niko na boksa na vest si kuona haya kwa vile kashaniona, nikasema fresh hebu tuone... Nikaanza process pale nikamwambia karibu ukae, duh bila aibu kaingia.. Jicho alilokuwa ananikata wadau ndo lililo ni acha hoi kabisa..

Nilikuwa nikimwangalia, mpaka napoteza focus.. Ikabidi nimuulize kwa nini jana ulikuwa unanikonyeza huku unacheka? Na mumeo yuko wapi?

Akaishia kucheka tena kwa nguvu mpaka nikajistukia!!! Nini kwani kuna tatizo... Hapana kwa sauti ya aibu akasema.

Nikamsikia kama anajinong'oneza "sijui wa kaka wa siku hizi mkoje, yaani mpaka nivue ndo ujiongeze"

Nilistuka Nika muuliza unasemaje? We dada wewe rudi ulikotoka, Oya si akavua bwana... wadau, nimekuja kujistukia baada ya mechi..

Simu sijui niliitupaje ila tuliitafuta na kuikuta uvunguni mwa kitanda...nikamwambia asije tena, wala kuonesha ishara ya chochote kilicho tokea.

Hivi ni kwa nini wake za watu huwa na taste nzuri hivi?
 
Uyo anakupambanisha na mmewe ili uje uvuliwe ubingwa wako(sikuiz mgoni hapelekwi kwa mwenyekiti,police wala mahakamani.. Mtu akikuta na mkewe anachofanya nikuita vijana waje wamsaidie kukuvua ubingwa uliopewa na sir god)

Mkuu mimi ni mwanaume, na nimeshamwambia nilicho kifanya leo ni kumwonesha kuwa mimi sio wa kuchezea..

Nimempa onyo la kutokutangaza chochote kilicho tokea... As long as nimesha mpatia dozi anayo ihitaji
 
Usihofu kaka unaeza Kuta mumewe mwenyewe hana afya hana hela mlegevu ata akikufania unaweza mgeuzia kibao, ukamuuliza unafanya Nini hapa, unamchukua na makofi mawili matatu, alafu unamwambia potea, stupid
 
Mkuu mimi ni mwanaume, na nimeshamwambia nilicho kifanya leo ni kumwonesha kuwa mimi sio wa kuchezea..

Nimempa onyo la kutokutangaza chochote kilicho tokea... As long as nimesha mpatia dozi anayo ihitaji
Dozi umepatiwa wewe mkuu, unashangaa kwanini kajirahisi!? Ni kwa sababu ana ngoma tayari.
 
198351-Hot-Tea-Vapor.gif
 
Back
Top Bottom