FREE MIN MEE

FREE MIN MEE

Dah watu wajue humu kuna watu na watani zao, suala la itigi ni langu mimi na wewe. Wa itigi ni mimi sio wewe, ila mimi hukugeuzia kibao.

Kuna muda watu wana hamu tu ya kugombana na mtu wanatafuta sababu tu.
Hako katoto kamepigwa na maisha,mbele moto nyuma moto,
Kaliposikia issue ya Itigi kalifikiri ni kweli ili kapate faraja na kujifariji,si unaona kalivyosikia hivyo tu kakaanza kukata mauno kwa furaha.
 
Back
Top Bottom