Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,526
- 6,248
Hhhhh Min me mwamba sana huyo , atakuwa yupo Vacation hataki usmbufu kwa sasa
Hmm sio kweli bwana! Yale ma petroleum mbona yanajivutaga sometimes🫢Weee gari kubwa ikiwashwa tuu shaaaaaaaa
Sure bro , nakubali sana.Hhhhh Min me mwamba sana huyo , atakuwa yupo Vacation hataki usmbufu kwa sasa
Seran unataka yanywe damu za watu🤣Magari makubwa yanakunywa mafuta mengi😂
Madam mzuri nipo tu , nimetingwa na maulevi tu😅Good morning… Free bwasheee mangi 😅
Tofautisha kati ya luxury car na heavy duties mashine hata ushuru wake kuna some subsidiesHmm sio kweli bwana! Yale ma petroleum mbona yanajivutaga sometimes🫢
Weee weee nilitaka kuanzisha Doria hapo mvemero unajua ulitekwa eeenh.Madam mzuri nipo tu , nimetungwa na maulevi tu😅
Hahahaha bwashee, ni kazi na dawa tu 🍺🍺🍺😁😷Weee weee nilitaka kuanzisha Doria hapo mvemero unajua ulitekwa eeenh.
Sumu haionjwi❗ Mke wa mtu yule ujue😂Daaah kaka vitu vyangu hivi, samahan bro hivi ephen naye ana mzigo nisije jichanganya mkuu
Kilauli kilizidi watu walikuwa wanafanya kampeni wakutoe kizuizini unajua.Hahahaha bwashee, ni kazi na dawa tu 🍺🍺🍺😁😷
Hapana aisee!Seran unataka yanywe damu za watu🤣
hauvumi lakini umo😀 kwanini haujaniitaHuwa napenda sana battles aisee,nafuatilia
Kwahiyo ile mambo ni heavy duty machine bro😂 natembea kwa shida naomba nirudi kuwa ka shopping basket passo au vitz🧐Tofautisha kati ya luxury car na heavy duties mashine hata ushuru wake kuna some subsidies
Halafu huwezi amini nilikukumbuka sijui nini kiliingia kati nikajisahau,si unajua wengine ndio mambo yetu haya🤣🤣hauvumi lakini umo😀 kwanini haujaniita