Nilisha kuambia kua unachomiliki wewe ni hiyo broken english unayo imwaga hapa,tafuta tiba ya kisaikolojia ili kupunguza athari unazo zipata sasa kutokana na malezi ya hovyo uliyo yapata toka kwa Baba wa kambo,
Ndio maana hata huelewi unacho kiandika hapa,mara hubishani ila unabishana,mara hujibu ila unajibu! wewe debe tupu la JF tafuta shughuli ikukeep busy ili upunguze kushusha vinyuzi vya kijinga jinga hapa.
Kila binadamu huwa anakuwa na mtihani wake... Leo nimeona nitoe japo snippet yangu, kwa vile hili jukwaa ni kubwa nadhani naweza kupata mtu wa kunibadilisha mawazo..
Kwanza kabisa.... I'll be 29 this month. Na kuna vitu huwa navipuuza but they're starting to make clear sense now..
Si unajua utu uzima dawa Buddha! So japo mapambano yanaendelea kuna time inabidi uwe vulnerable kidogo uache ego ikae pembeni maana haiweki chakula kwenye sahani wala kulipa kodi.
So, kufupisha stori ni hivi...
Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena... Maana Kadri siku...