min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,242
- 167,236
🤣🤣🤣 wana buni tu bwasheeSi ndiooooo! Watu wanakusingizia sana.
🤣🤣🤣 wana buni tu bwasheeSi ndiooooo! Watu wanakusingizia sana.
... tofauti ya itikadi isitufanye tutakiane MABAYA! 😅Kivipi meku😅
Bwashee mbona sioni kama nimetakiwa mabaya?😀... tofauti ya itikadi isitufanye tutakiane MABAYA! 😅
Next time ,,ilipatika hiyo ya udereva sehemu moja kwa wakala wa serikali bila cheti kinachotambulika serikalini siwezi kukusaidia.kadi ya nida ninayo
Cheti cha kuzaliwa ninacho
Wadhamini wapo
Cheti cha driving ndo sina mkuu
Madam 😅Next time ,,ilipatika hiyo ya udereva sehemu moja kwa wakala wa serikali bila cheti kinachotambulika serikalini siwezi kukusaidia.
Udereva,, haijatangazwa popote ni nafasi za kujuana.Dada ni position gani hii nimpe mdogowangu
NiambieMadam 😅
NimekumisNiambie
Asante mimi pia..... naona unaturusha waja na bia za jumanneNimekumis
Mhmmm kumbe ni jumanne 😅Asante mimi pia..... naona unaturusha waja na bia za jumanne
lol!!! hauko dunia hiiMhmmm kumbe ni jumanne 😅
Oh naomba hiyo connection dadaake😍Udereva,, haijatangazwa popote ni nafasi za kujuana.
Nilifariki😀lol!!! hauko dunia hii
Poa ntakupa info.Oh naomba hiyo connection dadaake😍
Na pls hakuna popote kuongelea chochote kuhusu hii platformPoa ntakupa info.
Siwez kufanya hilo kosa la mama nnaemuunga hata simwambii kwanzaNa pls hakuna popote kuongelea chochote kuhusu hii platform
Aandae hizo documents jumamosi ntakkwambia atume wapi.Siwez kufanya hilo kosa la mama nnaemuunga hata simwambii kwanza
Sawa dadaAandae hizo documents jumamosi ntakkwambia atume wapi.
😆 😂 😆 😂 😆 😂Nilifariki😀
asante mkuu kwa kuendelea kunipiganiaNext time ,,ilipatika hiyo ya udereva sehemu moja kwa wakala wa serikali bila cheti kinachotambulika serikalini siwezi kukusaidia.