Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,309
- 5,608
Huenda ndio akawa Ema the boy 🫠🫠Hapana huyu jamaa ana tatizo sijamzoea hivi, yani kimya sana nimepata hofu NAOMBA, tupaze sauti apatikane ndugu yetu. Free min mee
Kaka sio kawaida yake hii ni kama seran apotee humu wiki nzima lazima hofu iwepo kaka🤣Akiandika shida... Akikaa kimya mnamtafuta😂
😀 yuko mapumziko na kimwana mmoja hatari Sana black beautyKaka sio kawaida yake hii ni kama seran apotee humu wiki nzima lazima hofu iwepo kaka🤣
Hahahaaa🤣😀 yuko mapumziko na kimwana mmoja hatari Sana black beauty
Hahahaaa🤣
Umekosa cha kupost?Hapana huyu jamaa ana tatizo sijamzoea hivi, yani kimya sana nimepata hofu NAOMBA, tupaze sauti apatikane ndugu yetu. Free min mee
Kiaje😀Huu ni udhalilishaji wa kijinsia
Huyo ni nani kwani?Good morning… Free bwasheee mangi 😅
Wewe huwa humfahamu mtu yeyote huku daslamu, baki zako itigi 😆Huyo ni nani kwani?
Ndio kwanza namsikia leo kwenye huu uzi.
Kumbe huwa nabishana na mshamba tena wa itigi kabisa?Wewe huwa humfahamu mtu yeyote huku daslamu, baki zako itigi 😆