Upo sahihi! Mambo ninayoandika jf siku tukionana nitakua naangalia chini kwa aibu sithubutu kukuangalia usoni😂Ila ukiwaza sana humu JF matusi yanayotukanwa au kutukanana nje ya JF ni watu wengine tofauti kabisa.. maana hata sura hazielekei kama tuna midomo michafu 😆😆😆
Au nasema uongo mdogo wangu...
ephen_
Bwashee 😅😅 mnapenda mtu ateseke 🤣 ngoja leo nilewe vizuri niwape stress gademitt 😅
Bwashee 😅😅 mnapenda mtu ateseke 🤣 ngoja leo nilewe vizuri niwape stress gademitt 😅
😁😁😁Upo sahihi! Mambo ninayoandika jf siku tukionana nitakua naangalia chini kwa aibu sithubutu kukuangalia usoni😂
Tukiwa humu tunajiachia kwa raha zetu😁😁😁
Kwani sikujui? Au hunijui? Sema tuu hizi Id zinapunguza makali...
Kwakweli stress free zone...Tukiwa humu tunajiachia kwa raha zetu
Siku ukiwa na stress unahitaji mtu wa kugombana nae, muanze de gunner anawahi kujaa utamtukana huku unacheka.Kwakweli stress free zone...
Unamporomoshea mtu maneno mbofu mpaka unajikataa