Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Unaweza somea ualimu pia advance p unaweza kilimo pia unapata medical na vingine Vinci aisee ni we tu fatilia kwenye .net kuhusu utaratibu
 
pia nami nahitaji msaada dogo langu kapata iii~25 ana 'c' ya history 'c' ya kiswahili na 'c' ya biology masomo mengine ana 'd' je anaweza kwenda kidato cha tano,?

Kidato cha tano atakwenda Ila private school Ila combination ya arts ie HKL
 
wakuu nina mpango wa kwenda advance private nina div 4 ya 26 mwaka 2016 kama ifuatavyo,
Biology D
Chemistry D
Geography D
History D
English D
Civics C
Kiswahili C
Physics F
Maths F
wakubwa nisaidieni tafadhali...
 
Kuna dogo mtaa kwangu kapata 32 mama yake alikuwa anamuuliiza jirani yake anaweza kumtupa wapi huyu? wajuzi hebu nijuzeni anaweza kuendelea na nini huyu?
 
Nenda ADVANCE dogo ..chuo cha nn sahivi? Una millions ? Au ndo unataka kusoma vyuo ambavyo havijasajiliwa?

Kuwa na C 3 inatosha kwenda adavnce ya private
 
wakuu nina mpango wa kwenda advance private nina div 4 ya 26 mwaka 2016 kama ifuatavyo,
Biology D
Chemistry D
Geography D
History D
English D
Civics C
Kiswahili C
Physics F
Maths F
wakubwa nisaidieni tafadhali...
ili uweze kwenda adv lazima uwe n credit yaani c zisizo pungua tatu haujafikisha c tatu Fanya mpango wa chuo/college kwa marks zako unafaa kabisa
 
niliskia watu wakisema kwamba kuna effects nikienda advance huku niki reset credit moja
hicho kitu siku hizi hamna mdogo wangu una reset kwanza upate credit ndipo uendelee na advance.

kuwa makini
 
sawa sawa kaka na nikirudia kutafuta credit nafanya masomo yote? na kama nikitaka collage nisome mambo gan kulingana na perfomance hyo
 
mkuu utaratibu wa kuwa form 5 at the same time unarisit ulisha badilishwa kitambo na wizara kwanza una clear then unaendelea labda kama mtu nafanya ivo kimagamashi,take my note
Mkuu naomba chanzo chako habari kuhusu hii,kwamba credit Za kuungaunga hazikubaliki tena ili niweze kusaidia watu maana shule nyingi za private bado zinatumia hii.
 
wakuu nina mpango wa kwenda advance private nina div 4 ya 26 mwaka 2016 kama ifuatavyo,
Biology D
Chemistry D
Geography D
History D
English D
Civics C
Kiswahili C
Physics F
Maths F
wakubwa nisaidieni tafadhali...


mkuu risiti tu maana sasa hiv hawaruhusu kusoma huku unarisit kwa cheti sawa utapata ila hesabu itakuangusha sana, you have only 17miaka, risiti tu mwaka huu HISTORY,GEOG,ENGLISH na hakika utapata c then mwakan unaenda advance
 
Back
Top Bottom