goldenbby
Member
- Oct 13, 2015
- 40
- 9
Wanachukua mtu mwenye c ya bios kwa ninavyo jua that's y nikamwambia aendeOmba radhi kwa kuikosea heshima Muhimbili
Muhimbili aichukui vilaza wa kiasi hiki
Wanachukua mtu mwenye c ya bios kwa ninavyo jua that's y nikamwambia aendeOmba radhi kwa kuikosea heshima Muhimbili
Muhimbili aichukui vilaza wa kiasi hiki
mimi naona kama ana pesa ajiunge na vyuo kama ifm, cbe etc ,certificate , then diploma kuliko kurudi /reseat ,kwasababu akimaliza diplo anaweza akapata ajira kuliko akimaliza form sixkuna msichana ana credit mbili, je anaweza kusoma form five huku ana resit ili kupata tena zile credit mbili?
sio ya bios tu C ya masomo yote ya sayansi including EnglishWanachukua mtu mwenye c ya bios kwa ninavyo jua that's y nikamwambia aende
Okay ahsante kwa kunifahamishasio ya bios tu C ya masomo yote ya sayansi including English
Ungekuwa umesoma physics ningekushauri kituHabarin wadau' ndugu zangu nimepata F26 ikiwa km ifuatavyo kimasomo geog-D,HIST-D,MATH-F,CIV-C,ENGL-C,BIOS-C na KISW-D,kwa ushauri na maon nini nifqnye karbun sn!
Math umepataje!?jamani msaada rafiki yangu kapata div 3 ya 24 Bios C phy D chem D Kisw D Hist C civ C Eng C Geog D .. Anapenda sayansi na pia hata chuo kma inawezekana lkn.. Ihuxu science .. Mxaada plz
Na hii kozi ukitoka unapata ajira moja kwa moja au? Na ina diploma yake na kama haina unaweza kuendelea na koz gn ngaz ya diploma?unatakiwa Uwe na ufaulu wa biology D au C.
hiyo kozi inapatikana ktk vyuo vyote vya afya gov au private
hiyo ni kozi mpya kuhusu dip yake sijajua kwasababu imeanzia cert .lakini lazma itakuwa na mwendelezo wakeNa hii kozi ukitoka unapata ajira moja kwa moja au? Na ina diploma yake na kama haina unaweza kuendelea na koz gn ngaz ya diploma?
Ahsante!!
Thenx broo!!hiyo ni kozi mpya kuhusu dip yake sijajua kwasababu imeanzia cert .lakini lazma itakuwa na mwendelezo wake
Math ana FMath umepataje!?
Kufikiri nje ya box kipaji. Tafuta course ambayo unaipenda anza nayo certificate then diploma lastly degree ila kurudia hata mi nilirudia nakumbuka ule msuli sijawahi piga katika level yyote ya masomo yangu kuanzia advance wala B.A yangu naam hata masters. Kuresit kunaweza kukufanya hamna aisehushaur wangu soma chuo,tafta cert,then diploma na .........BT KURIST UNAJITAFTIA MOTO NIULIZE MIE NILIESOTA NIKAJIFUNZA WANANGU HAWATARISIT BORA ARUDIE FORM TWO
Huyu amepata karibia na sifuri...mshauri kwanza arudi shuleni tena....Kuna dogo mtaa kwangu kapata 32 mama yake alikuwa anamuuliiza jirani yake anaweza kumtupa wapi huyu? wajuzi hebu nijuzeni anaweza kuendelea na nini huyu?
kwa comb ipi?Nenda advance private
nenda chuoHabarin wadau' ndugu zangu nimepata F26 ikiwa km ifuatavyo kimasomo geog-D,HIST-D,MATH-F,CIV-C,ENGL-C,BIOS-C na KISW-D,kwa ushauri na maon nini nifqnye karbun sn!