Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Mrudishe shule uyo izo mambo za kusema ufundi muangalie asije tafuta ajira mpk siku anakufa asipate aisee
 
Habarin wadau' ndugu zangu nimepata F26 ikiwa km ifuatavyo kimasomo geog-D,HIST-D,MATH-F,CIV-C,ENGL-C,BIOS-C na KISW-D,kwa ushauri na maon nini nifqnye karbun sn!
 
yani hapo ndio kisw gani umeandika? unaweza ukakuta hawa ndio walimu wanaotufundishia watoto.....kweli mtoto atashindwa kuandika kama mwl wake anavyoandika kwenye mtihani! yani sipendi aina hii ya uandishi basi tu!
Asante.
 
Habarin wadau' ndugu zangu nimepata F26 ikiwa km ifuatavyo kimasomo geog-D,HIST-D,MATH-F,CIV-C,ENGL-C,BIOS-C na KISW-D,kwa ushauri na maon nini nifqnye karbun sn!
Kwani wewe unapenda kusoma nini?
 
Habarin wadau' ndugu zangu nimepata F26 ikiwa km ifuatavyo kimasomo geog-D,HIST-D,MATH-F,CIV-C,ENGL-C,BIOS-C na KISW-D,kwa ushauri na maon nini nifqnye karbun sn!
Soma HGL au HKL, ila lazima iwe private maana huwezi kupata nafasi serikalini
 
kama ana moyo shule umtafutie shule nzuri ya private aanzie form two.inawezakuwa mazingira aliyokuwa anasoma yalichangia kufeli.
 
nenda A level kasome art hapo saaafi kabisa
 
Ushauri wangu ni huu.
1/Akasome Ualimu(Hapo atasomeshwa na serikali tena miaka 2, akimaliza anajiriwa serikali na anaanza na mshahara wa wastani ya Laki tatu)

2/Aende Advance kusomea masomo ya Arts(Hapo ni Private(Ajiandae na Ada sio chini ya 1milioni kwa mwaka), ni miaka miwili, kisha akifaulu vizuri upo uhakika wa kuingia chuo kikuu but suala la mkopo ni issue ya kubahatisha kidogo, na Ajira ni pasua kishwa unless awe amesomea ualimu).
 
Habarin wadau' ndugu zangu nimepata F26 ikiwa km ifuatavyo kimasomo geog-D,HIST-D,MATH-F,CIV-C,ENGL-C,BIOS-C na KISW-D,kwa ushauri na maon nini nifqnye karbun sn!

achana na mambo ya ualimu wa primary'kuna kozi mpya ya afya community health jaribu kuomba.
 
Back
Top Bottom