Yaani huu utaratibu mpya mi sijaufuatilia sana ufaulu wake na qualification zake, lakini ninavyojua kwa Div. 4 ualimu sahau...hata kusomea sheria pia ni ngumu, ushauri wangu tafuta kozi itayokufaa uanze n ngazi ya cheti then ukifaulu vizuri ndo matokeo yako ya cheti somea mambo mengine. Vyuo vya utumishi wa umma ka Public Service College unaweza kusoma pia kozi za Reording Managements au Human Resources certificate na ukaunganisha Diploma
nashukuru sana kwa jibu lako zuri. sasa ni wakati wangu kufanyia kazi.