Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

pia nami nahitaji msaada dogo langu kapata iii~25 ana 'c' ya history 'c' ya kiswahili na 'c' ya biology masomo mengine ana 'd' je anaweza kwenda kidato cha tano,?
Huyo anaenda mkuu, au ulikuwa unamaanisha kuchaguliwa?
 
Arudie mtihani tena mwaka huu 2016 maana bado kumbukumbu za masomo anazo na akijua kuwa mwaka huu anafanya mtihani atakuwa na bidii ili mradi umpe moyo asijione mnyonge.Angalau apate hicho cheti japo cha D 3 ndio hapo utaweza kumuuliza yeye anapenda kufanya nini hapo baadae.
Thanks mkuu
 
Yeye (na wewe....) hamkuyategema kwa kuwa alikuwa anafanya vizuri sana darasani na imetokea tu bahati mbaya akataga?

Well, kama ndivyo, then mfanyie mpango wa kurudia kuanzia form three. Miaka 17 si mbaya saaana, anaweza hata kurudia kuanzia form II. Ni vizuri awe na cheti cha form IV hata kama utakuja kumpeleka kusomea ufundi huko mbeleni.
Ndio mkuu, alikuwa anajitahidi kusema ukweli, hapa nilikuwa nimeshamchukulia form za form v, st. Marys mazind juu na kibosho girls, nimeumia mno nae kaumia pia, laiti watoto wangekuwa wanajua haya maumivu ya kufeli wangekuwa more serious na shule
 
Utakuwa ni mjinga sana kuamini kila anayefeli ni kilaza, nimeona watu waliofanikiwa vizuri kiuchumi japo walifeli shule
sasa inakuaje mtu kafeli apelekwe ufundi wkt huko ndio science imechukua 90% ya maisha ya kiufundi
 
Nisiwe MNAFIKI Mtafutie Bodaboda Apige Kazi Kwani Kichwa Chake Hakina Urafiki Na Shule.
 
Nakushauri usimpeleke ufundi arudie kidato cha kwanza shule tofauti na shule aliyo soma!! Ukizingatia sasa hivi chini ya Dr Magufuli elimu ni bure!! Kumpeleka ufundi ni kumpotezea mda wake na wako!!
aisee mkuu achana na hiyo mambo ni bora aende ufundi.. yaani mtu amalize form 4 halafu arudie form one..? do you know how much stressful is that????
 
Elimu ni muhim ila sio sana.....labda kuna kitu anaeza fanya kingine
Ushauri pumba huuu...ayo maneno mkuu ni ya watu walioshndwa shule,eti elimu haina umuhimu saana..ayoo maneno ya nchi zilzoendelea sio kwa watu wa familia za kiafrica..tena usiongee hzo pumba umu kuna vjana bado wanahtaji future..wee shauli kam akafanye elimu ya ufundi au elimu ingne sio useme elimu haina umuhimu saana,kam unaweza waambia wanao maneno hayoo basi mzazi hakuna apaa
 
Mtoto wa kike, mkuu siyo wote destiny zao zinafanana na yako
Wewe Chenjeu Sana Tena Uliyebobea, Sasa Unataka Ushauri Halafu Unanilazimisha Nifanane Na Mawazo Yako? Hata Kama Ni Mtoto Wa Kike Wewe Mpe Bodaboda Ajitafutie Kilema Chake.
 
Huyu ni wa kumpeleka ufundi atakua ana kipaji kimejificha huko..tatizo wabongo tunapenda kuforce shule.wenzetu huwa wakiona darasani haziendi wanajikita kwenye ufundi au biashara na wanafanya vizuri sana huko..mfano hai Richard Branson wa Virgin Atlantic shule ilimshinda lakini leo ni billionaire.
 
aisee mkuu achana na hiyo mambo ni bora aende ufundi.. yaani mtu amalize form 4 halafu arudie form one..? do you know how much stressful is that????
Ufundi bongo mkuu haulipi kivilee labla au wa like aingie kwenye mapishi
 
Back
Top Bottom