we mbona hot cake. Fanya maandaliz tumwenye 3 ya 26
civ c
bios b
chem c
geog c
hist c
engl b
math d
kisw c
je anaweza kuchaguliwa govment wakuu nisaidieni.
nashukuru kwa ufafanuzi wako mzuri. ila bado nahitaji ufafanuzi zaidi. je ukiwa una pass 3 unaweza kusomea kozi zipi na vyuo gani wanachukua wenye pass 3..? mimi nina C 2 na D 2. C1 ya dini ndio maana nikasema nina pass 3. pls nijuze.
Nikutoe wasi wasi, kuhusu chuo kusema hakichukui watu wasiopitia form six si kweli kwa sababu application zinafanyika kupitia TCU wao ndio wanajua vigezo vya mtu kuendelea na Bachelor course kwa kutumia "Equivalent qualifications". Siku hizi A level si kigezo kikubwa cha mtu kuendelea na Bachelor courses. Kwanza mtu aliyeanya na fani fulani katika junior level na kuendelea nayo kidogo kidogo huwa wanakuwa wazuri sana wakifika higher level kama za degree. Sina uhakika sana na vyuo vya afya kwa maana ya majina lakini najua vipo vingi, fanya hivi INGIA The National Council for Technical Education alafu tazama Recognized Colleges ili uwe na uhakika na vyuo na ujue kozi wanazotoa ndipo ufanye maamuzi.
KUtokanaaa na competition advance ya muhimu sanaa jamanii form four skuhizii kama takataka wengisanaa afya inawatuu wanaochukuliwa wachache sana kutoka equivalents entry req so labda lakini lazima pia uwe na principal mbili za chemistry/physics au biologyHabari zenu Wakuu!..
Ninamdogo wangu angependa kusoma Diploma za Afya mfano,Laboratory tech,Pharmacy,Radiotherapy,Nursing etc
amemaliza kidato cha nne mwaka huu na amefaulu vizuri tu masomo ya sayansi ninajua anaweza kupata nafasi ya
kusoma kozi hizo kama vinginevyo mtanisaidia pia lakini jambo kubwa ambalo ningependa kusaidiwa ni kama ataweza
kuunganisha kusoma degree husika au nyingine kwa elimu hiyo kama atafanya vzr,nimeuliza hivyo kwa sababu nimeona
chuo cha St.John wameandika katika maelezo yao ya usajili hawachukui mwanafunzi kusoma degree kama hajasoma A
-Level.
Najua humu kuna watu ambao ni maafisa usajili kwenye vyeo,wengine wamesoma kwa namna hiyo ningependa
kufahamu kama huo uwezekano upo au itampasa afanye kitu gani cha ziada.Pia ningependa kufahamu vyuo vizuri
vinavyotoa kozi tajwa hapo juu.
Nashukuru kwa msaada wenu,wasomi..
Nikutoe wasi wasi, kuhusu chuo kusema hakichukui watu wasiopitia form six si kweli kwa sababu application zinafanyika kupitia TCU wao ndio wanajua vigezo vya mtu kuendelea na Bachelor course kwa kutumia "Equivalent qualifications". Siku hizi A level si kigezo kikubwa cha mtu kuendelea na Bachelor courses. Kwanza mtu aliyeanya na fani fulani katika junior level na kuendelea nayo kidogo kidogo huwa wanakuwa wazuri sana wakifika higher level kama za degree. Sina uhakika sana na vyuo vya afya kwa maana ya majina lakini najua vipo vingi, fanya hivi INGIA The National Council for Technical Education alafu tazama Recognized Colleges ili uwe na uhakika na vyuo na ujue kozi wanazotoa ndipo ufanye maamuzi.
Anaweza tena vizuri tu ilimradi awe amefaulu vizuri maana vyuo ya afya siku hizi hawachukui wanafunzi wengi mfano mm nipo University of dentisrty Tanga now tupo 12 tu jaoo chuo huchukua 15 sababu wengne hawakuwa na vigezo
KUtokanaaa na competition advance ya muhimu sanaa jamanii form four skuhizii kama takataka wengisanaa afya inawatuu wanaochukuliwa wachache sana kutoka equivalents entry req so labda lakini lazima pia uwe na principal mbili za chemistry/physics au biology
Muulize kama yupo tayari kurudia maana KWA hilo daraja Ni sawa na kurudia upya elimu ya form 4.Nina uncle wangu kapata matokeo mabaya sana, ambayo sikuyategemea na wala yeye hakuyategemea ila all is well.
Nimekuja kwenu wakuu kuomba ushauri, najua wapo na wengine wengi watakaofaidika na ushauri huu.
Lengo langu nataka asome. Ni options zipi ambazo zinaweza kumsaidia akaendelea kupata elimu kwa hii div 0 yake, binafsi sijakata tamaa na hata yeye nitamshawish asikate tamaa. Ni binti wa miaka 17 alikuwa huko moshi sasa nikamchukua tupo nae hapa Dar