bavitamlewa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 270
- 212
Certificate y, nursing, lab tech, ualim private anapata cz govt hope itakuw mwsho 27
Certificate y, nursing, lab tech, ualim private anapata cz govt hope itakuw mwsho 27
Hiyo ni ngumu maana ana F ya Biology wanaweza wakamsumbuaCertificate y, nursing, lab tech, ualim private anapata cz govt hope itakuw mwsho 27
CIV - 'D' HIST - 'D' GEO -
'D' KISW - 'C' ENGL - 'D'
PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO
- 'D' B/MATH - 'F'
Asante sana kwa ushauri mkuu, nitaufanyia kaziHuyu anaonekana ana akili hizo D ana uwezo wa kuzisafisha zikawa C angerudia mitihani ingekuwa bora zaidi.akaenda kidato cha tano course ya HGK,HGL au akachukua diploma yoyote.Nashauri arudie mitihani.Ila sasa ajitahidi kusoma.Shule iwe shule kweli
Asante sana kwa ushauri mkuu, nitaufanyia kazi
Asante mkuu, well notedAchana na maswala ya kurudia mitihayo hayo yashapitwa na wakati...mark zake zunamruhusu kuendelea sio kurudia. Mpeleke asome certificate ama diploma. Ila ningekuwa mimi ndo mwisho hapo ningempeleka akasomee vitu vinavyoeza kumfanya akajiari mfano ufundi. Ufundi wa magari unalipa sana hapa mjini
una mishe gn dada ya kumsaidia dogo, maana nami nina dogo kavuruga mbaya, waweza ni pm au hata hapa kama hutojalinicheki 0754997606
yani hapo ndio kisw gani umeandika? unaweza ukakuta hawa ndio walimu wanaotufundishia watoto.....kweli mtoto atashindwa kuandika kama mwl wake anavyoandika kwenye mtihani! yani sipendi aina hii ya uandishi basi tu!Mdada wa miaka 17 kupata 0 form 4,ni vema mpate muda wa yy kujikubal na kuachnowladge hayo matokeo. Na awe vigilant ku realise and recognise core factors zilizomfanya aface those poor results. Hii itamsaidia atakapo rud class aweze kuonyesha man's ability and man's resilience to rise from the ashes of destruction.
amevurugajeuna mishe gn dada ya kumsaidia dogo, maana nami nina dogo kavuruga mbaya, waweza ni pm au hata hapa kama hutojali